Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

Hata vijana watakuwa wanamshangaa mgonjwa pale kitandani🤣🤣
Kuna mzee mmoja juzi kanichekesha na kunihuzunisha pia, hatembei na na 20+, yeye ni 18-20 tu na yupo 69yrs. Anadai ana watoto 18 kila mmojaana mama yake, hajawahi kuoa wala kuishi na mwanamke. Akapiga simu kuongea na babe wake(19yrs) ametoka kujifungua mwezi jana, yaani juzi niliipata definition ya "mzee wa hovyo" live🤣🤣
 
Hiyo mimba itaingia iwapo atakuwa hajafunga "Hand break"

Siku hizi Kwa Kila Wanawake 5 basi 3 ukiwaangalia kwenye Mkono wao wa kushoto utakuta Wana hand break ( wanatumia vimti kujilinda na mimba zisizo tarajiwa)

Refer case ya Vanessa Mdee na Juma Jux

Pamoja na Jux kupiga mashuti makali lakini hakuweza hata kumbebea mimba, lakini Rotimi kugusa kidogo tu, Vanessa akaanza kuhisi kichefuchefu na kuanza kula udongo mwekundu 😜🙌

Kwahiyo kuzaa na Mwanamke ni lazima hiyo PisiKali ikubali, vinginevyo hutaambulia hata mtoto wa dawa
Babu umeongea point sana.
 
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri.

Cha kushangaza, kila mmoja aniiti jina langu tena; bali wananiita baba fulani kutokana na watoto niliozaa nao, kupasha kiporo ni muda wowote tu ule unavyojisikia, muhimu bajeti kwa muda ule uweze kuimudu tu.

Kinacho wachanganya zaidi ni swaga zangu, ucheshi, kutokuishi kizee, pamoja na kujali kwa vitu vidogo vidogo.

Kila siku nimekuwa ni mtu wa kupata mialiko kutoka kwa hawa pisi kali zangu, sema tatizo ni bajeti nashindwa kuwafikia wote kwa wakati, kwa sababu wengine wako mikoa tofauti.

Kweli najiona kidume kuwa na hizi pisi kali zilizonizawadia watoto.​
Tubu umrudie Mungu.
Pia kumbuka uzuri bila akili ni mateso kwa sehemu za siri.
 
Kuna mzee mmoja juzi kanichekesha na kunihuzunisha pia, hatembei na na 20+, yeye ni 18-20 tu na yupo 69yrs. Anadai ana watoto 18 kila mmojaana mama yake, hajawahi kuoa wala kuishi na mwanamke. Akapiga simu kuongea na babe wake(19yrs) ametoka kujifungua mwezi jana, yaani juzi niliipata definition ya "mzee wa hovyo" live🤣🤣
🙆🙆🙆Daaah Kuna watu Wana lifestyles za kipekee!au ndio Ile Raha ya kuitwa Dady ulivyosema juzi😁?
 
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri.

Cha kushangaza, kila mmoja aniiti jina langu tena; bali wananiita baba fulani kutokana na watoto niliozaa nao, kupasha kiporo ni muda wowote tu ule unavyojisikia, muhimu bajeti kwa muda ule uweze kuimudu tu.

Kinacho wachanganya zaidi ni swaga zangu, ucheshi, kutokuishi kizee, pamoja na kujali kwa vitu vidogo vidogo.

Kila siku nimekuwa ni mtu wa kupata mialiko kutoka kwa hawa pisi kali zangu, sema tatizo ni bajeti nashindwa kuwafikia wote kwa wakati, kwa sababu wengine wako mikoa tofauti.

Kweli najiona kidume kuwa na hizi pisi kali zilizonizawadia watoto.​
Brother lea watoto sasa sio kufurahia tu mambo kama hayo, walee katika maadili mazuri,
 
Back
Top Bottom