Bernie Fikiri
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 288
- 197
Ha ha haaa.... Relax bro. Najua kuhonga ni kwa mtu ambaye si mke wala mchumba. Mke na mchumba unamsaidia vinginevyo awe na tamaa zake pamoja na njaa. Ukishajua hilo jiulize kwanini unahonga?Povu hilo, fimbo za macho tuu hivi siku hizi watu wanatemwa?
Nam kwa mikono miwili napokea ombi lako.Tutashukuru endapo ukijitolea kuwa kama mzee mshauri katika chama hiki
Mbona avatar inaonyesha mwanamke!!Mimi ni mwanachama wa kudumu hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mademu wa leo warahisi sana ukitoa hela umepanda tu leo nimekutana na mmoja yaani alivyokuwa akijilegeza kwangu
Nikamvuta nikamkumbatia katulia
Nikambusu katulia
Nikamla denda katulia
Mwisho wa siku nikakomelea kabisa
Tumetoka nikamnunulia msosi wa nguvu na sh/ 7000
Imepita bila kupigwaMkuu chama chetu tuipe jina la "Chama cha Mabahili na Wasiokubali Kupelekeshwa kwenye Mapenzi Tanzania" (CHAMAKUMATA)
Ha ha haaa.... Relax bro. Najua kuhonga ni kwa mtu ambaye si mke wala mchumba. Mke na mchumba unamsaidia vinginevyo awe na tamaa zake pamoja na njaa. Ukishajua hilo jiulize kwanini unahonga?
Kuwa na huruma aisee.Ndio Mkuu kala pesa yangu yy nimemwambia aje peke ake kaniletea timu unadhania mchezo.
Nilichukua jezi box mbili zikaisha nikatembelea tubeless baada ya kunywa redbull ili nikae sawa.
Imeandikwa vigezo na masharti kwani?Mbona avatar inaonyesha mwanamke!!
Huwa unahonga men!
kama unayo kwanini usimpe kama ana mahitaji?kama hauna na anaforce hapo sawa, ......ila inafurahisha kama uko na mchepuko, mke au mchumba wako na amependeza na wa kisasa zaidi
Hapo sawa. Ila ondoa sentensi moja kwenye maelezo yako ya awali. ""kuwa vijana wanawaza pussy tu""
Labda kama sikukuelewa
Uisajili[emoji15] [emoji23]Niko hapa nami, leteni katiba ya hili lii-chama.
Hujielewi weweHuu pia ni umama.... Utaachaje kuhonga kwa mfano.
Wewe ni mburundi?Mabahili mliotukuka mkuje hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikopwa la bei gani?Ndg mwenyekiti
kama kamati ya ulinzi naleta ripot kuwa huyu bidada anahasira sana na sisi kwa kuwa juzi alikopwa penzi na hajalipwa hadi hivi sasa ninapokukabidhi mrejesho