Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndani ya chama upoWakuu mi naomba utunza mshiko au ubahili hadi ndani ya chama?
Hahah hakuna hilo skuiz, tushawajulia Wale, kuhonga ilikua zamani bwana skuiz mademu wengi kama ushuuzi na kupata K rahisi tuTeh teh wengine wanafiki tu hapa. Ukute mmetoka kuchunwa sasa hivi na pesa mmetoa. Hapa mnajishaua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumeshaanza kujisajiri tayari mkuu.Mabahili mliotukuka mkuje hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanachama wengi wa chama hichi Wana dual-membership, ni wanachama pia wa chaputa
Ooh kumbe!Hahah hakuna hilo skuiz, tushawajulia Wale, kuhonga ilikua zamani bwana skuiz mademu wengi kama ushuuzi na kupata K rahisi tu
Mara ya mwisho kumpa mama ako hela ilikuwa lini?Umasikini tuu, embu cheki mtoto mkali anacheka na 50K jioni hii, bado kesho tena anapata nyingine
Mtaishia kula mademu wabovu wabovu ambao hata viwanja hamuwezi kwenda nao, wananuka vijasho na chupi zimetoboka
chukuaNaomba kadi aisei...[emoji119][emoji119][emoji119]