Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Wakuu mi naomba utunza mshiko au ubahili hadi ndani ya chama?
ndani ya chama upo

utashika zile buku mbili mbili tutazo kuwa tunahonga kitengo cha miamala hahaHHHhhaah demu anakuomba hela ya salon baada ya mda inaingia msg imethibitishwa umepokea sh 2000 toka kwa.....
 
Huku mm sikosi aisee, haaaa bora kupulika kuliko kutoa laki kisa papuchizo
 
Naomba kadi aisei...[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Teh teh wengine wanafiki tu hapa. Ukute mmetoka kuchunwa sasa hivi na pesa mmetoa. Hapa mnajishaua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mmoja anataka nmtoe lunch leo.
Juz weekend apo kanbania gegedo et alikua period..
Mananaaaaaa..
Kashakula nyekundu. Sitak mazoea
 
Teh teh wengine wanafiki tu hapa. Ukute mmetoka kuchunwa sasa hivi na pesa mmetoa. Hapa mnajishaua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah hakuna hilo skuiz, tushawajulia Wale, kuhonga ilikua zamani bwana skuiz mademu wengi kama ushuuzi na kupata K rahisi tu
 
kwa wale wa mtandao wa tigo piga *21*075# ili mpiga kizinga akikupigia simu hakupati ila wewe unasoma msg na kupiga simu kama kawaida.

kufungua piga #002#
 
9a28135dbedc2e37295ca2e5005c8af8.jpg


Lol
 
Umasikini tuu, embu cheki mtoto mkali anacheka na 50K jioni hii, bado kesho tena anapata nyingine

Mtaishia kula mademu wabovu wabovu ambao hata viwanja hamuwezi kwenda nao, wananuka vijasho na chupi zimetoboka
Mara ya mwisho kumpa mama ako hela ilikuwa lini?
 
Back
Top Bottom