Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikopwa la bei gani?
kwa upelelezi wetu uliotukuka tumegundua alikopwa kwa ahad ya sh 5000 /=

japo ni kubwa sana kwa chama chetu hii fedha cha kushukuru hatolipwa hvyo ni sawa na bure
 
Mwenyekit niweke na mimi kwenye chama... Na mm ni mbahilli mzuri tu.. Story zitafuata
 
Mwenyekit niweke na mimi kwenye chama... Na mm ni mbahilli mzuri tu.. Story zitafuata
Kadi ya uanachama wako inaandaliwa bt naomba tuwekee kwanza hapa tukio la ubahili ulilowahi kulifanya ili bodi ya mabahili ithibitishe kama unafaa kuwa kwenye chama
 
Mademu wa leo warahisi sana ukitoa hela umepanda tu leo nimekutana na mmoja yaani alivyokuwa akijilegeza kwangu
Nikamvuta nikamkumbatia katulia
Nikambusu katulia
Nikamla denda katulia
Mwisho wa siku nikakomelea kabisa
Tumetoka nikamnunulia msosi wa nguvu na sh/ 7000
Dem cheaper huyo .....manzi ya uhakika anayevutia uwezi mtia for free
 
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
ningekuwa na uwezo ningeku award P.hD
 
Wanachama wengi wa chama hichi Wana dual-membership, ni wanachama pia wa chaputa
Ahahahahahahaaaa mkuu wanachana hapa wana maneno mengi na si kwamb hawawezi kuhonga, hawana hela japo nami nimejiunga rasmi
 
Mi nawashauri hata nauli msitume,akikuambia yupo sehem mwambie nakuja mm mwenyewe,ukituma nauli imekula kwako
 
Mi nawashauri hata nauli msitume,akikuambia yupo sehem mwambie nakuja mm mwenyewe,ukituma nauli imekula kwako
Mswada wa kubadilisha mbinu upo hapa jamvini na wasau bado wanatiririka bila shaka na hii njia ya kutoa nauli itazingatiwa kwa umakini
 
hahaha team timing...., pamoja sana ndg wajumbe wenzangu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyu amevunja CIO ubahili itakuwa salio halisomi vzr;afu me hii style mlokuja nayo ya kujazana upupu mwajisumbua Jana MTU kaja na uzi eti mabingwa wa kuchepuka tukutane hapa jmn wanaume wpo kwny htr ya kupotea kama CIO kutoweka kabsa chaaa mnaboa nyie[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hio avatar ni yako,pls nijibu tuu na nafsi yangu itaridhika
 
Umasikini tuu, embu cheki mtoto mkali anacheka na 50K jioni hii, bado kesho tena anapata nyingine

Mtaishia kula mademu wabovu wabovu ambao hata viwanja hamuwezi kwenda nao, wananuka vijasho na chupi zimetoboka
Mkuu unahonga honga ovyo hujiamini, kuonga kote uko bado unatumia tecno.
 
Back
Top Bottom