Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Brain aliyonayo ni bare minimum, yaani ni ile ya kumwezesha kujifanyia zile basic activities kama vile kula, kwenda bathroom, kuvuka barabara, etc.Kombo ataambulia sifuri
Sababu pia Kombo nimegundua ni mweupe tu kichwani
In fact,Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) leo Juni 8, 2026 wamefanya mazungumzo ya kisiasa ya ngazi ya juu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyopatilana kupitia ukurasa wa X wa Umoja wa Ulaya (EU), imesema mazungumzo yanejikita katika Haki za Binadamu na Demokrasia, ambapo umija huo umewasilisha masikitiko na wasiwasi wake kuhusu hali ya haki za binadamu na demokrasia nchini Tanzania na vipaumbele vya Sera za Kigeni.
Ajenda nyingine iliyojadiliwa ni ushirikiano kati ya EU na Tanzania utaendelea kujengwa juu ya misingi ya demokrasia, tawala wa sheria, maadili ya pamoja na maslahi ya pande zote.
Mazungumzo hayo yanakuja wakati kukiwa na shinikizo la kimataifa limeongezeka kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati miezi ya hivi karibuni.
View attachment 3603959View attachment 3603960
Kwamba who are you Hadi kumpigia magoti ndo mafanikioKuna watu wamenuna
Hawajakutana na Kombo, Ila Kombo ndio kukutana naoMabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) leo Juni 8, 2026 wamefanya mazungumzo ya kisiasa ya ngazi ya juu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyopatilana kupitia ukurasa wa X wa Umoja wa Ulaya (EU), imesema mazungumzo yanejikita katika Haki za Binadamu na Demokrasia, ambapo umija huo umewasilisha masikitiko na wasiwasi wake kuhusu hali ya haki za binadamu na demokrasia nchini Tanzania na vipaumbele vya Sera za Kigeni.
Ajenda nyingine iliyojadiliwa ni ushirikiano kati ya EU na Tanzania utaendelea kujengwa juu ya misingi ya demokrasia, tawala wa sheria, maadili ya pamoja na maslahi ya pande zote.
Mazungumzo hayo yanakuja wakati kukiwa na shinikizo la kimataifa limeongezeka kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati miezi ya hivi karibuni.
View attachment 3603959View attachment 3603960
Kombo ndio anateseka kisa dadaakeKuna watu wamenuna
Acha kujishtukia,weka pedi vizuriKombo ndio anateseka kisa dadaake
Kama wamepiga kura ya hapana⦠why bado wanavuta viti kuketi?Kombo ataambulia sifuri
Sababu pia Kombo nimegundua ni mweupe tu kichwani
Hii taarifa ingetolewa na gerishoni au luka isingeletwa Kwa mtazamo wa critism badala yake ingekuwa ni kujisifia kwamba wazungu wamefyata mkia. Na waonwalijua ndio mana Jana wakaisambaza sanaIn fact,
Tanzanian will continue operating her internal matters inline to the law and constitution standards.
thank you EU for your constructive criticism on state of human rights on the land and your opinions concerns democracy. We appreciate your representations here in Tanzania π
sifahamu,Hii taarifa ingetolewa na gerishoni au luka isingeletwa Kwa mtazamo wa critism badala yake ingekuwa ni kujisifia kwamba wazungu wamefyata mkia. Na waonwalijua ndio mana Jana wakaisambaza sana
Kwa mujibu wenu nyie veggies chama na sselekali yake havina makosa na Kila kitu kijaenda sawa. Maswala ya kujisahihisha ya llishakufa na Nyerere esifahamu,
but binafsi ninaamini kwamba, changamoto zozote zile, zinafaa kutumika au kugeuzwa kama fursa muhimu sana ya kunitazama, kujisahihisha na kujirekebisha ili hatimae kufanya vizuri na kwa usahihi zaidi mbeleni π
Hilo lipo waziKombo ataambulia sifuri
Sababu pia Kombo nimegundua ni mweupe tu kichwani
Kilaza anateua vilaza kwani akiteua watu smart watamu-outshine.Kombo ataambulia sifuri
Sababu pia Kombo nimegundua ni mweupe tu kichwani