Mabalozi wa EU wakutana na Waziri Kombo Dar es Salaam

Kwa mujibu wenu nyie veggies chama na sselekali yake havina makosa na Kila kitu kijaenda sawa. Maswala ya kujisahihisha ya llishakufa na Nyerere e
Gentleman,
hiyo ni dhana potofu kwa baadhi yenu wafuata mkumbo.
But suala la kunitazama, kujisahihisha, kujirekebisha ili hatimae kufanya vizuri zaidi mbeleni ni mtambuka ndani ya Chama Cha ha Mapinduzi.

Na CCM inajitahimini yenyewe na mambo yake, na sio kubabaika na porojo au mihemko ya wasio wana CCM. Hao nao ni vizuri wakapata nafasi ya kunitazama na kujisahihisha kwa namna yao.

But to me,
changamoto inabaki kua fursa muhimu sana ya kijitazama upya, kujirekebisha na kujipanga upya ili hatimae kufanya vizuri zaidi mbeleni 🐒
 
Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) leo Juni 8, 2026 wamefanya mazungumzo ya kisiasa ya ngazi ya juu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo jijini Dar es Salaam.

Taarifa iliyopatilana kupitia ukurasa wa X wa Umoja wa Ulaya (EU), imesema mazungumzo yanejikita katika Haki za Binadamu na Demokrasia, ambapo umija huo umewasilisha masikitiko na wasiwasi wake kuhusu hali ya haki za binadamu na demokrasia nchini Tanzania na vipaumbele vya Sera za Kigeni.

Ajenda nyingine iliyojadiliwa ni
ushirikiano kati ya EU na Tanzania utaendelea kujengwa juu ya misingi ya demokrasia, tawala wa sheria, maadili ya pamoja na maslahi ya pande zote.

Mazungumzo hayo yanakuja wakati kukiwa na shinikizo la kimataifa
limeongezeka kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati miezi ya hivi karibuni.
View attachment 3603959View attachment 3603960
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Umoja wa Ulaya sio wajinga
Tutalajie kufutwa kwa misaada kutoka EU na baadae nchi moja moja za ulaya nazo kufuta na kukataa kutoa misaada Tanzania
 
Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) leo Juni 8, 2026 wamefanya mazungumzo ya kisiasa ya ngazi ya juu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo jijini Dar es Salaam.

Taarifa iliyopatilana kupitia ukurasa wa X wa Umoja wa Ulaya (EU), imesema mazungumzo yanejikita katika Haki za Binadamu na Demokrasia, ambapo umija huo umewasilisha masikitiko na wasiwasi wake kuhusu hali ya haki za binadamu na demokrasia nchini Tanzania na vipaumbele vya Sera za Kigeni.

Ajenda nyingine iliyojadiliwa ni
ushirikiano kati ya EU na Tanzania utaendelea kujengwa juu ya misingi ya demokrasia, tawala wa sheria, maadili ya pamoja na maslahi ya pande zote.

Mazungumzo hayo yanakuja wakati kukiwa na shinikizo la kimataifa
limeongezeka kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati miezi ya hivi karibuni.
View attachment 3603959View attachment 3603960
Haisaidii kitu maana Kombo alizunguka kila kona ya Dunia ila vikwazo vipo njiani.
Hawa wazungu huwezi kuwadanganya kwa ripoti za tume unazoziunda mwenyewe.
 
Kombo ataambulia sifuri

Sababu pia Kombo nimegundua ni mweupe tu kichwani
Waziri kombo kaenda kukutana na mabeberu? Siyo mzalendo kabisa huyu
Au anajadili mambo ya upindr
Who are you????
Hahahaha
 
Back
Top Bottom