Mabalozi wa EU wakutana na Waziri Kombo Dar es Salaam

Kwa mujibu wenu nyie veggies chama na sselekali yake havina makosa na Kila kitu kijaenda sawa. Maswala ya kujisahihisha ya llishakufa na Nyerere e
Gentleman,
hiyo ni dhana potofu kwa baadhi yenu wafuata mkumbo.
But suala la kunitazama, kujisahihisha, kujirekebisha ili hatimae kufanya vizuri zaidi mbeleni ni mtambuka ndani ya Chama Cha ha Mapinduzi.

Na CCM inajitahimini yenyewe na mambo yake, na sio kubabaika na porojo au mihemko ya wasio wana CCM. Hao nao ni vizuri wakapata nafasi ya kunitazama na kujisahihisha kwa namna yao.

But to me,
changamoto inabaki kua fursa muhimu sana ya kijitazama upya, kujirekebisha na kujipanga upya ili hatimae kufanya vizuri zaidi mbeleni 🐒
 
 
 
Umoja wa Ulaya sio wajinga
Tutalajie kufutwa kwa misaada kutoka EU na baadae nchi moja moja za ulaya nazo kufuta na kukataa kutoa misaada Tanzania
 
Haisaidii kitu maana Kombo alizunguka kila kona ya Dunia ila vikwazo vipo njiani.
Hawa wazungu huwezi kuwadanganya kwa ripoti za tume unazoziunda mwenyewe.
 
Kombo ataambulia sifuri

Sababu pia Kombo nimegundua ni mweupe tu kichwani
Waziri kombo kaenda kukutana na mabeberu? Siyo mzalendo kabisa huyu
Au anajadili mambo ya upindr
Who are you????
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…