Mabalozi wa mataifa ya nje mlioko Tanzania hangaikieni biashara rais wa ufaransa amelalamika kenya

Hizo exports za punda na hiyo mibuyu zimetengeneza ajira na kodi kiasi gani kwa watanzania kutokana na uwekezaji wake?

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
Wafugaji punda ni wengi mno na wako vijijini hivyo kupeleka utajiri vijijini kwa wafugaji ambao miaka rudi punda hakuwa na soko kabisa .Kafungua soko jipya China ambalo halijawahi kuweko Toka Tanzania ipate uhuru la kuuza nyama ya punda China.
 
Yaani Raisi Macron aliongea kwa uchungu sana amesaini mkataba mmojawapo wa kiwanda cha kutengeneza gari Aina ya Peugeot Kenya.Alikuwa so emotional.Unaona kabisa kaumia.Na Mimi nakubaliana naye gari zilizokuwa zimeshika soko la Africa zilikuwa Peugeot za mfaransa , landrover na Albion za mwingereza,Fiat za mwitaliano na Benz za mjerumani.Kuendekeza non business issues agenda Africa kuliwa kick out of the African market na magari yao.Sasa hivi wao ni third class seller wa magari yao hayo Africa!!

Ile gari niliyosikia inatengenezwa Kenya imekwenda wapi??
 
Basi mabalozi wetu huko China , Korea na Thailand watukuwa wamekusikia na watatafuta soko la Mbwa ili wafugaji wetu wa Mbwa nao watajirike kama hao wafugaji wa punda.
Wafugaji punda ni wengi mno na wako vijijini hivyo kupeleka utajiri vijijini kwa wafugaji ambao miaka rudi punda hakuwa na soko kabisa .Kafungua soko jipya China ambalo halijawahi kuweko Toka Tanzania ipate uhuru la kuuza nyama ya punda China.

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Ufaransa nayo iko kipindi kigumu kisiasa. Kwa sasa watulie kwanza afu waanze kazi. Mchina anipa Africa kitu inapenda.
Uko sahihi mchina akija anakubembeleza dear what do you want me to give you or dear can you give me this? Ulaya na Marekani wakija wanasema you prostitute we want this and that whether you like or not give us or take from us. If you don't accept our conditions and give us or take from us what we want you will face the music from us and the international community!!
 
Uko sahihi mchina akija anakubembeleza dear what do you want me to give you or dear can you give me this? Ulaya na Marekani wakija wanasema you prostitute we want this and that whether you like or not give us. If you don't accept our conditions and font give us what we want you will face the music from us and the international community!!
Mara ushoga humo humo. China basi tu ila hii nchi ingekuwa HP Wa Dunia. Sema wachina hawako serious tu basi.
 
Mchina ana shughulika sio na Ku import tu hadi nyama ya punda ana export kufuga punda ni deal kubwa!! Mibuyu ina soko China wanatengeneza nguo zile suti zinazongaa sana.Nani kakudanganya kuwa Chinese business ni just importer wa kuleta bidhaa Tanzania? Marekani na ulaya ndio wanafanya hivyo sio Chinese
Yani unaona BOP kati ya China na Tz iko sawa? Sidhani hata kama inafikia robo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue sio English words za BOP na ujinga wa maneno ya kiingereza issue ni kuwa mtu aweza pata bidhaa aitakayo at affordable prices hata kama BOP haisomi vizuri kwani BOP yetu na Marekani au na nchi za ulaya inasomeka vizuri mbona hiyo huongelei? mchina anawezesha basic needs kuwa met kwa bidhaa zake.Ziko affordable Kila kona ya nchi .Hakuna nyumba isiyo na bidhaa ya China kuanzia ya matajiri hadi maskini wa kutupwa
 
Nime quote ulipozungumzia kwamba China anafanya biashara za exports. Siongelei US au GB sababu haikuwa sehemu ya hoja yako. Mimi naulizia hizo exports za China zinafikia hata robo ya imports kutoka China?

Wangekuwa na urafiki mzuri hizo nguo za mibuyu wangetengenezea hapa, halafu wangeangalia kiwanda chao ambao wenyewe ndio wamekigeuza godown pale ubungo. Petty business za exports za nyama ya punda? Seriously?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Raisi Macron aliongea kwa uchungu sana amesaini mkataba mmojawapo wa kiwanda cha kutengeneza gari Aina ya Peugeot Kenya.Alikuwa so emotional.Unaona kabisa kaumia.Na Mimi nakubaliana naye gari zilizokuwa zimeshika soko la Africa zilikuwa Peugeot za mfaransa , landrover na Albion za mwingereza,Fiat za mwitaliano na Benz za mjerumani.Kuendekeza non business issues agenda Africa kuliwa kick out of the African market na magari yao.Sasa hivi wao ni third class seller wa magari yao hayo Africa!!
Sioni hoja. Hakuna uhusiano wowote wa soko la magari ya Ulaya kuchukuliwa na magari ya Japan, na nchi za Ulaya kukazania demokrasia na utawala wa sheria.

Nchi za Ulaya na America, wana nafasi kubwa sana ya kuisadia Afrika katika kujenga tawala zenye kuheshimu utawala wa sheria, haki na katiba. Lakini wakati wanafanya hivyo wakaangalia namna watakavyoweza kuwafanya Waafrika kuwa wateja wa bidhaa zao.

Waafrika wengi wanapenda bidhaa za Ulaya na America kwa sababu ni za kiwango cha hali ya juu, lakini wanashindwa kumudu bei. Kama mataifa ya Ulaya na America wakaweza kuziuza bidhaa zao kwa bei wanayoifikia Waafrika, bidhaa za China hazitaweza kuwa mshindani katika soko kutokana na uhafifu katika ubora
 
Magu anahangaika kuua na kuteka watu kila siku kwa sababu ya hawa wafaransa na ndio maana anataka kuondoa upinzani ili wapinzani wasipate sapoti kwaajili ya hawa wafaransa(mabeberu) na hio ndio ukweli
 
Sioni hoja. Hakuna uhusiano wowote wa soko la magari ya Ulaya kuchukuliwa na magari ya Japan, na nchi za Ulaya kukazania demokrasia na utawala wa sheria.

Nchi za Ulaya na America, wana nafasi kubwa sana ya kuisadia Afrika katika kujenga tawala zenye kuheshimu utawala wa sheria, haki na katiba. Lakini wakati wanafanya hivyo wakaangalia namna watakavyoweza kuwafanya Waafrika kuwa wateja wa bidhaa zao.

Waafrika wengi wanapenda bidhaa za Ulaya na America kwa sababu ni za kiwango cha hali ya juu, lakini wanashindwa kumudu bei. Kama mataifa ya Ulaya na America wakaweza kuziuza bidhaa zao kwa bei wanayoifikia Waafrika, bidhaa za China hazitaweza kuwa mshindani katika soko kutokana na uhafifu katika ubora
America na ulaya bei za product zao haziwezi shindana na China sababu kwao cost of production ziko juu sana.Mchina ataendelea kuwashinda soko la Africa.Kitu kama hakiko affordable kwa Afrika nobody is interested in that thing.Labda waamue kuhamishia manufacturing facility Afrika au China kwenye low cost of production otherwise hawataweza compete na china Africa kwenye business for ever watabaki na non business agenda only za who is Democratic and who is not Democratic!!! They will remain Democratic analysts!!!!Agenda ambazo haziwaingizii hata dola Moja kwenye kwenye nchi zao!!!!! While China is making money!!!!
 
Naona unawaonea wivu Kenya kwa kutembelewa na rais wa ufaransa
Mabalozi wa nchi hasa za ulaya na marekani wamekuwa muda mwingi wanahangaika na vitu visivyoingizia pesa mataifa yao Kama demokrasia nk.Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron akiwa Kenya kalalamika kuwa wamechelewa Sana kufanya biashara nyingi na Africa China imewazidi kila eneo kwa kuwazidi kibiashara, kiuchumi na kisiasa Africa.Mabalozi wa nje Mpo hapo. Mimi Naona sababu kuu ni hawa Mabalozi hupoteza muda mwingi kwenye non business issues tofauti na china

In God we trust
 
Mabalozi wa hapa walijitahidi kuishawishi tanganyik iuze korosho mkajidai mtazinunua kwa siku 2 lkn leo hii ni mwezi wa 5 zinaozeana maghalani
Mabalozi wa nchi hasa za ulaya na marekani wamekuwa muda mwingi wanahangaika na vitu visivyoingizia pesa mataifa yao Kama demokrasia nk.Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron akiwa Kenya kalalamika kuwa wamechelewa Sana kufanya biashara nyingi na Africa China imewazidi kila eneo kwa kuwazidi kibiashara, kiuchumi na kisiasa Africa.Mabalozi wa nje Mpo hapo. Mimi Naona sababu kuu ni hawa Mabalozi hupoteza muda mwingi kwenye non business issues tofauti na china

In God we trust
 
Mabalozi wa nchi hasa za ulaya na marekani wamekuwa muda mwingi wanahangaika na vitu visivyoingizia pesa mataifa yao Kama demokrasia nk.Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron akiwa Kenya kalalamika kuwa wamechelewa Sana kufanya biashara nyingi na Africa China imewazidi kila eneo kwa kuwazidi kibiashara, kiuchumi na kisiasa Africa.Mabalozi wa nje Mpo hapo. Mimi Naona sababu kuu ni hawa Mabalozi hupoteza muda mwingi kwenye non business issues tofauti na china
Kwani waliozuia hivyo viwanda visifunguliwe hapa kwetu ni hao mabalozi? Sera zenu ni mbovu, ni nani yuko tayari ku-risk pesa zake kuja kufungua kiwanda hapa kwetu? 2020 hii hapa vile viwanda mlivyotuahidi mje navyo kwenye kampeni la sivyo kampeni zenu mkafanyie huko huko Lumumba
 
Pesa mbele,mambo ya demokrasi kila nchi itajijua. Kuna nchi zingine demokrasia haifanyi kazi mfano Libya wanajuta kumuondoa Gadafi. Sisi pia tupambane na Magufuli wetu tusiwategemee umoja wa Ulaya. Hayawahusu.
Asante,hahaha!,you made my day[emoji23][emoji23][emoji23],kivyao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu, wafaransa hovyo sana.
My advice to France , European countries and America sit down brainstorm what is your main agenda with Africa? business agenda or non business agenda? If you want to compete with China in business.It is up to you to decide.If you will concentrate on non business agenda leave China to do business and you continue to be specialists of non business agenda in Africa that doesn't give any dollar ,euro or pound from Africa
 
Katika siku ungepata LIKE mia zangu kama inaruhusiwa ingelikuwa leo.

Hongera mkuu.[emoji108][emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu unahitaji kuwa mfuasi wa CHADEMA kuona ukatili mzito aliofanyiwa mwanadada asiyekuwa na hatia yoyote Akwiline Akwilina ?

Siasa na ufuasi ndio zimetupotezea utu kabisa ??!!

Je, Mkuu unahitaji mpinzani kuona walichofanyiwa watu wa kusini kuhusu korosho ni kitendo kibaya na cha hovyo sana ?
 
America na ulaya bei za product zao haziwezi shindana na China sababu kwao cost of production ziko juu sana.Mchina ataendelea kuwashinda soko la Africa.Kitu kama hakiko affordable kwa Afrika nobody is interested in that thing.Labda waamue kuhamishia manufacturing facility Afrika au China kwenye low cost of production otherwise hawataweza compete na china Africa kwenye business for ever watabaki na non business agenda only za who is Democratic and who is not Democratic!!! They will remain Democratic analysts!!!!Agenda ambazo haziwaingizii hata dola Moja kwenye kwenye nchi zao!!!!! While China is making money!!!!
Unawajua wazalishaji wakubwa wa bidhaa nchini China wanaouza kwenye mataifa ya Australia, Europe na America?

Ukweli ni kuwa wazalishaji wakubwa wa nchini China wanaouza bidhaa Ulaya, America na Australia ni makampuni ya mataifa hayo hayo ya Ulaya, America na Australia. Bidhaa hafifu za China ndiyo zinazoletwa Africa.

Makampuni ya Wachina yaliyopo China hayawezi kuendelea kushikilia soko la Afrika kwa sababu suala la uingizaji bidhaa dhaifu kiholela katika nchi za Afrika ni la muda na siyo la kudumu. Makampuni yenye uhakika wa kutawala soko la Afrika ni makampuni makubwa, ambayo mengi ni ya nchi za Magharibi, yaliyopo China.
 
Back
Top Bottom