M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Ni dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima.
Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote.
Hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe.
Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote.
Hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe.