Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Ila tambua wao ndiyo wameshikilia Dunia mkuu.
Watawa-control Lisu, Zito & Sultan Seif
Ila sio CCM, sio JPM ova!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watawa-control Lisu, Zito & Sultan Seif
Ila sio CCM, sio JPM ova!
Waende wapambane na nchi zao,Ni dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima.
Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote.
Hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe!
View attachment 1556348
Wewe si unaona ata iyo avatar yake aloweka lijamaa, ukitumia akili kidogo tu unajua mleta mada yupo kundi gani.Wa
Waende wapambane na nchi zao,
Halafu mleta mada unapenda sasa beberu likukoromee kisogoni?
Kwani wao ndo wanafaya uchaguzi hapa?
Mbona sisi hatuwapangii huko kwao?
Usishabikie ujima wewe
Ukipenda kukoromewa nenda huko kwao wakukoromee kisogoni.
Hakuna kitachofanyikaKutokana na hii kauli, NEC wajitizame mara mbili. Kuna sehemu ni kama wamegusiwa.
Pia hili suala la upinzani kuacha kuonyeshwa kwenye Tv kutokana na woga wa vyombo vya habari. Ila TBC tunawalipa lakini ni wa hovyo hovyo.
Asanteni wadau wema kutoa angalizo kabla ya moto kuwaka.Zbar safari hii hawapo tayari na Bara pia hatupo tayari kwa dhuluma.
Chama cha Mapinduzi kimewafanya wanachama na wafuasi wao kuwa majinga ya kutupwa yanaropoka tu bila kutafakari lisemwalo. Katika kampeini zinazoendelea kuna wagombea wa Urais 14 wa vyama vya Upinzani, Membe wa CCM akiwemo, mbona anayewatisha na kuwatetemesha ni Tundu Lissu pekee? Hao mabalozi katika tamko lao wamemtaja Lissu kuwa ndo pekee anaminywa? Wananchi wanajua kuwa yeyote kati ya wagombea 14 wa Upinzani walipitishwa na Time ya Uchaguzi kwa kuwa anafaa kuwa Rais wa nchi hii ikiwa na maana anaweza kuwa mbadala mzuri zaidi wa Magufuli. Dunia ni Kijiji kwa hiyo wote tunaoishi kijijini tunatakiwa tuheshimiane, tupendane na tukemee mwanakijiji mwenzetu mmoja akijifanya mjuaji, hata Mila zetu mwanakijiji mchawi au mwenye tabia mbaya hutengwa lakini kabla ya hatua hiyo kuchukuliwa huonywa. Tatizo ni CCM wanafikiri wakishindwa Uchaguzi ndo mwisho wa dunia.Hata aje Trump mwenyewe na jeshi lake Lisi hashindi jamani mbona ni wagumu kuelewa?
Hao watatoa matamko hayo ambayo ni wajibu wao na mwishowe watasanda.
Kama leo chadema mnaleta licha za mapokezi ya Lowasa 2015 na kusema ni ya Lisu, basi hata aje Amsterdam beberi wa Lisu aje atangaze matokeo hamtashinda.
Mungu wabariki WazunguNi dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima.
Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote.
Hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe!
View attachment 1556348
Mebeberu in Jpm voice wamecharuka. Wameungana.Ni dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima.
Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote.
Hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe!
View attachment 1556348
Hizi hadithi zilishapitwa na wkati. Kawasimulie babu zako ndio wataziamini.Hizi stament za aina hii ndio zinaimaliza CHADEMA inaonyesha wao wantaka CHADEMA ipie watutawale tena
Kwa hiyo wenye mbwa wameongea na Mbwa wao?Hao ndio wanaoilisha Tanzania. Hapo ni mwenye mbwa anaongea.
Mkuu unataka kusemaje kwamba bila figisu za uchaguzi ccm haiwezi shinda au?Chadema wanaamini kuwa wazungu watawaweka Madarakani,
Chadema is a branch of colonial masters that seeks to resume colonial operations in Tanzania!
Bora kuwahujumu kwa namna yoyote wasipate madaraka makubwa.
Mkuu kwa hao mabalozi wamezungumzia ushindi wa Lissu au wametaka uchaguzi uwe wa uwazi,huru na haki?Hata aje Trump mwenyewe na jeshi lake Lisi hashindi jamani mbona ni wagumu kuelewa?
Hao watatoa matamko hayo ambayo ni wajibu wao na mwishowe watasanda.
Kama leo chadema mnaleta licha za mapokezi ya Lowasa 2015 na kusema ni ya Lisu, basi hata aje Amsterdam beberi wa Lisu aje atangaze matokeo hamtashinda.
Wakafie Uyole hukoNi dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima.
Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote.
Hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe!
View attachment 1556348