Mabalozi wa nchi za Magharibi waliopo nchini watoa tamko kuhusu uzingatiwaji wa Uwazi, Haki na Usawa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Wa Waende wapambane na nchi zao,
Halafu mleta mada unapenda sasa beberu likukoromee kisogoni?
Kwani wao ndo wanafaya uchaguzi hapa?
Mbona sisi hatuwapangii huko kwao?
Usishabikie ujima wewe
Ukipenda kukoromewa nenda huko kwao wakukoromee kisogoni.
 
US nao wamekandamiza kamsumari kao hapo juu....😀😀!!

 
Wa
Waende wapambane na nchi zao,
Halafu mleta mada unapenda sasa beberu likukoromee kisogoni?
Kwani wao ndo wanafaya uchaguzi hapa?
Mbona sisi hatuwapangii huko kwao?
Usishabikie ujima wewe
Ukipenda kukoromewa nenda huko kwao wakukoromee kisogoni.
Wewe si unaona ata iyo avatar yake aloweka lijamaa, ukitumia akili kidogo tu unajua mleta mada yupo kundi gani.
 
bila msaada wa jumuiya ya kimataifa jiwe atakuwa mfalme na Mungu wa Tanzania.
 
Kutokana na hii kauli, NEC wajitizame mara mbili. Kuna sehemu ni kama wamegusiwa.

Pia hili suala la upinzani kuacha kuonyeshwa kwenye Tv kutokana na woga wa vyombo vya habari. Ila TBC tunawalipa lakini ni wa hovyo hovyo.
Hakuna kitachofanyika
 
Chama cha Mapinduzi kimewafanya wanachama na wafuasi wao kuwa majinga ya kutupwa yanaropoka tu bila kutafakari lisemwalo. Katika kampeini zinazoendelea kuna wagombea wa Urais 14 wa vyama vya Upinzani, Membe wa CCM akiwemo, mbona anayewatisha na kuwatetemesha ni Tundu Lissu pekee? Hao mabalozi katika tamko lao wamemtaja Lissu kuwa ndo pekee anaminywa? Wananchi wanajua kuwa yeyote kati ya wagombea 14 wa Upinzani walipitishwa na Time ya Uchaguzi kwa kuwa anafaa kuwa Rais wa nchi hii ikiwa na maana anaweza kuwa mbadala mzuri zaidi wa Magufuli. Dunia ni Kijiji kwa hiyo wote tunaoishi kijijini tunatakiwa tuheshimiane, tupendane na tukemee mwanakijiji mwenzetu mmoja akijifanya mjuaji, hata Mila zetu mwanakijiji mchawi au mwenye tabia mbaya hutengwa lakini kabla ya hatua hiyo kuchukuliwa huonywa. Tatizo ni CCM wanafikiri wakishindwa Uchaguzi ndo mwisho wa dunia.
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Mebeberu in Jpm voice wamecharuka. Wameungana.

Gadafi la Tanzania kung'oka.

Wanaanzaaga hivi hivi. Hawa sio wale waganga wa mashekhe na maaskofu fake
 
Hizi stament za aina hii ndio zinaimaliza CHADEMA inaonyesha wao wantaka CHADEMA ipie watutawale tena
Hizi hadithi zilishapitwa na wkati. Kawasimulie babu zako ndio wataziamini.
 
Chadema wanaamini kuwa wazungu watawaweka Madarakani,

Chadema is a branch of colonial masters that seeks to resume colonial operations in Tanzania!

Bora kuwahujumu kwa namna yoyote wasipate madaraka makubwa.
Mkuu unataka kusemaje kwamba bila figisu za uchaguzi ccm haiwezi shinda au?
 
Mkuu kwa hao mabalozi wamezungumzia ushindi wa Lissu au wametaka uchaguzi uwe wa uwazi,huru na haki?
 
Wakafie Uyole huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…