Tetesi: Mabalozi wa Tanzania katika nchi za Brazil na Comoro kurejeshwa nyumbani kwa ubadhirifu wa kukodi magari

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Kutokana na ripoti ya CAG kuzilaumu ofisi za kibalozi za Tanzania nchini Brazil na Comoro kwa matumizi ya hovyo ya fedha za umma kwa kukodi magari, huenda mabalozi husika wakaitwa kuhojiwa na chombo maalumu ambacho nakifanya siri.

Baada ya mahojiano busara zitatumika kwa mujibu wa mamlaka za uteuzi.

Source: Chanzo nyeti serikalini.
 
Tunasubiri kuona viongozi wa Jeshi la Polisi nao wakiwajibika/kuwajibishwa.

Mussa of the House Assad, the First of His Name, Controller and Auditor General, and Protector of the Check and Balance #ForTheThrone
D3zdTNRWsAACQ6e.jpg
 
Yani kipindi hiki sijui nani wa kumgusa mwenzie, maana ukimgusa tu anakuambia ofisi yako pia imetajwa, Hivyo wasiwaguse kina Emmanuel Nchimbi maana kitanuka nchi hii.
 
Kutokana na ripoti ya CAG kuzilaumu ofisi za kibalozi za Tanzania nchini Brazil na Comoro kwa matumizi ya hovyo ya fedha za umma kwa kukodi magari, huenda mabalozi husika wakaitwa kuhojiwa na chombo maalumu ambacho nakifanya siri.

Baada ya mahojiano busara zitatumika kwa mujibu wa mamlaka za uteuzi.

Source: Chanzo nyeti serikalini.
Hayo magari wanayakodi wakienda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunasubiri kuona viongozi wa Jeshi la Polisi nao wakiwajibika/kuwajibishwa.

Mussa of the House Assad, the First of His Name, Controller and Auditor General, and Protector of the Check and Balance #ForTheThrone
D3zdTNRWsAACQ6e.jpg
Mbona kakonda gafla?,halafu usawa wa shingo kama kachomekea,editing ya kifala kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom