Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #41
Kumbe Nchimbi anahofiwa urais na hivyo kaenda kufichwa.Huyo yuko salama - kuhojiwa ni vigumu - akija nchini atataka urais kwa udi na uvumba - akae huko huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Nchimbi anahofiwa urais na hivyo kaenda kufichwa.Huyo yuko salama - kuhojiwa ni vigumu - akija nchini atataka urais kwa udi na uvumba - akae huko huko
Sipati picha hii ripoti itakavyosababisha watu wengi watumbuliwe, hata baadhi ya mawaziri hawaponi.Chadema wamesema watatolea ufafanuzi report hiyo ya milions, vipi ccm bado kimya au hawajaona madudu yao ya BILLIONS?
Sipati picha hii ripoti itakavyosababisha watu wengi watumbuliwe, hata baadhi ya mawaziri hawaponi.
Sio picha zote lazima ziwe na uhalisia. Picha ni ujumbe. Mbona katuni za masood kipanya mnaizielewa vizur japokuwa wahusika wamechorwa hovyo?
Mbona CAG wetu kakonda ghafla au wameshampakaa Polonium.Tunasubiri kuona viongozi wa Jeshi la Polisi nao wakiwajibika/kuwajibishwa.
Mussa of the House Assad, the First of His Name, Controller and Auditor General, and Protector of the Check and Balance#ForTheThrone
![]()
Basi kama ni huyu kada nguli wa chama hakuna shida.
"Proof beyond no doubts", am readySio picha zote lazima ziwe na uhalisia. Picha ni ujumbe. Mbona katuni za masood kipanya mnaizielewa vizur japokuwa wahusika wamechorwa hovyo?
Umeshaona picha analichora da vinci..? Na ujumbe unaokuja na hizo picha?
I:E - kuhusu fact hujanijib mkuu swali langu la jana. Define fact?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na ripoti ya CAG kuzilaumu ofisi za kibalozi za Tanzania nchini Brazil na Comoro kwa matumizi ya hovyo ya fedha za umma kwa kukodi magari, huenda mabalozi husika wakaitwa kuhojiwa na chombo maalumu ambacho nakifanya siri.
Baada ya mahojiano busara zitatumika kwa mujibu wa mamlaka za uteuzi.
Source: Chanzo nyeti serikalini.
Bashiru keshakuwa spin doctor. Hana issue.Yule navyomjua atayaweka mambo hadharani hivi punde.
Alivyo na wivu wa maendeleo kwa wezi wenzie lazima awatumbue. Huyu mtu huwa hapendi kusikia Fulani kafanya hiki na kile kwa hela za umma. Kwa hiyo tumbua zake sio kuipenda sana nchi bali ni wivu wa maendeleo kwa wenzake.Nimefikiria hivyo hivyo pia, lakini mkuu usishangae pia ukaona kimya.
Nimefuatilia na kuna mdau kasema Tshekedi hamalizi mwaka FCC watamwondoa. Hakuna Rais asiye na udhibiti na vyombo vya maamuzi akafanikiwa kutawala nchi miaka mitano.Mkuu mambo vipi ? Nje ya Mada umesikia uchaguzi wa magavana RDC ? PPRD inapasua anga
Ukiweka Uzi kule kimataifa ni tag
MTC | 101| [emoji769]
Chochote chaweza kutokea.
Hahahaha niliwahi kusema humu hii game ataiweza? Ila naona kuna machafuko yanakujaNimefuatilia na kuna mdau kasema Tshekedi hamalizi mwaka FCC watamwondoa. Hakuna Rais asiye na udhibiti na vyombo vya maamuzi akafanikiwa kutawala nchi miaka mitano.
Maendeleo kwa wizi wa Mali ya umma haukubaliki popote pale dunianiAlivyo na wivu wa maendeleo kwa wezi wenzie lazima awatumbue. Huyu mtu huwa hapendi kusikia Fulani kafanya hiki na kile kwa hela za umma. Kwa hiyo tumbua zake sio kuipenda sana nchi bali ni wivu wa maendeleo kwa wenzake.
Sudan kang'olewa mtuHahahaha niliwahi kusema humu hii game ataiweza? Ila naona kuna machafuko yanakuja
MTC | 101| [emoji769]
Wanamgwaya mnoDr. Emmanuel ameingia matatizoni tena. Ila kwa busara watamuacha maana atamkosesha usizingizi yule naibu Waziri, Mhandisi wa Umeme, jimbo la ziwani.
Ya kifala kama ya hawara ya bibi yako?Mbona kakonda gafla?,halafu usawa wa shingo kama kachomekea,editing ya kifala kweli
Sent using Jamii Forums mobile app