Tetesi: Mabalozi wa Tanzania katika nchi za Brazil na Comoro kurejeshwa nyumbani kwa ubadhirifu wa kukodi magari

Tetesi: Mabalozi wa Tanzania katika nchi za Brazil na Comoro kurejeshwa nyumbani kwa ubadhirifu wa kukodi magari

Chadema wamesema watatolea ufafanuzi report hiyo ya milions, vipi ccm bado kimya au hawajaona madudu yao ya BILLIONS?
Sipati picha hii ripoti itakavyosababisha watu wengi watumbuliwe, hata baadhi ya mawaziri hawaponi.
 
Uhalisia ni muhimu sana,facts,hahaha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio picha zote lazima ziwe na uhalisia. Picha ni ujumbe. Mbona katuni za masood kipanya mnaizielewa vizur japokuwa wahusika wamechorwa hovyo?
Umeshaona picha analichora da vinci..? Na ujumbe unaokuja na hizo picha?

I:E - kuhusu fact hujanijib mkuu swali langu la jana. Define fact?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunasubiri kuona viongozi wa Jeshi la Polisi nao wakiwajibika/kuwajibishwa.

Mussa of the House Assad, the First of His Name, Controller and Auditor General, and Protector of the Check and Balance #ForTheThrone
D3zdTNRWsAACQ6e.jpg
Mbona CAG wetu kakonda ghafla au wameshampakaa Polonium.
 
Sio picha zote lazima ziwe na uhalisia. Picha ni ujumbe. Mbona katuni za masood kipanya mnaizielewa vizur japokuwa wahusika wamechorwa hovyo?
Umeshaona picha analichora da vinci..? Na ujumbe unaokuja na hizo picha?

I:E - kuhusu fact hujanijib mkuu swali langu la jana. Define fact?

Sent using Jamii Forums mobile app
"Proof beyond no doubts", am ready

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huyo kamongo wa Ikulu ni lini atarudishwa chato kwa kukwapua 2.4 trillions?

Kutokana na ripoti ya CAG kuzilaumu ofisi za kibalozi za Tanzania nchini Brazil na Comoro kwa matumizi ya hovyo ya fedha za umma kwa kukodi magari, huenda mabalozi husika wakaitwa kuhojiwa na chombo maalumu ambacho nakifanya siri.

Baada ya mahojiano busara zitatumika kwa mujibu wa mamlaka za uteuzi.

Source: Chanzo nyeti serikalini.
 
Nimefikiria hivyo hivyo pia, lakini mkuu usishangae pia ukaona kimya.
Alivyo na wivu wa maendeleo kwa wezi wenzie lazima awatumbue. Huyu mtu huwa hapendi kusikia Fulani kafanya hiki na kile kwa hela za umma. Kwa hiyo tumbua zake sio kuipenda sana nchi bali ni wivu wa maendeleo kwa wenzake.
 
Mkuu mambo vipi ? Nje ya Mada umesikia uchaguzi wa magavana RDC ? PPRD inapasua anga

Ukiweka Uzi kule kimataifa ni tag

MTC | 101| [emoji769]
Nimefuatilia na kuna mdau kasema Tshekedi hamalizi mwaka FCC watamwondoa. Hakuna Rais asiye na udhibiti na vyombo vya maamuzi akafanikiwa kutawala nchi miaka mitano.
 
Nimefuatilia na kuna mdau kasema Tshekedi hamalizi mwaka FCC watamwondoa. Hakuna Rais asiye na udhibiti na vyombo vya maamuzi akafanikiwa kutawala nchi miaka mitano.
Hahahaha niliwahi kusema humu hii game ataiweza? Ila naona kuna machafuko yanakuja

MTC | 101| [emoji769]
 
Dr. Emmanuel ameingia matatizoni tena. Ila kwa busara watamuacha maana atamkosesha usizingizi yule naibu Waziri, Mhandisi wa Umeme, jimbo la ziwani.
 
Back
Top Bottom