Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

Mbona kimya sana, yanga wako wapi ??
 

Hiyo barua ya kubumba...CAF huwa haingilii vitu kama hivyo
 
Yanga bhna, kwahiyo mmehamia kwenye uandishi [emoji23][emoji23]
 
TFF, TLB, GSM wana siri zao ambazo hawataki tujue
Sure, ndo maana mm binafsi huwa siwaamn TFF. Hata kipindi kile mwez wa sita,
Sikuwa upande wa TFF au board ya Ligi.😒
 
Hao sio CAF ni barua ya michongo. Upuuzi wa mpira tu unaendelea
 
TFF wametudissapoint Sana, tulio wengi.
Tafadhali pokea pole yangu.

Sijawa disappointed...

Mikataba ya TFF/Bodi ya ligi imekuwa ina pindishwa pindishwa na vilabu, mara sijui logo ina rangi hii mara vile...

Hii inatoa picha hapo TFF hakuna watu makini, sasa hawa dawa yao ni wafadhili kuwatosa tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…