Mabango ya Maandamano ya Tarehe 07/07/2026 yaanza kusambazwa

Wewe ndie unamiliki Lake Oil au sio?!😂
Kiufupi mkiendekeza ujinga lazma mlambe lolo
 
Hujachoka watu kupotezwa? Tuseme kwa kuwa sio ndugu zako wanaopotezwa sio?

Waandamanaji wanavunja sheria ipi kwenye katiba yetu?

Kwanini usikemee wauaji?

Wauaji wapo sahihi ila Waandamanaji ndio wana makosa sio?
me sijasema mtu yeyote ana makosa au hana,
what i know is nchi yetu maswala ya maandamano hayaishi vizuri,
nawashauri rafiki zangu, msiongeze huzuni kwenye maisha yangu, Tulieni ndani.
 
UVCCM na green guard wamepewa sare za chadema wafanye fujo ili waseme ni chadema wamefeli tumeshavijua mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…