Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Kama inavyoonekana kwenye video, ni mwendo wa kuondoka na mabango ya Samuya tu, tunasafisha barabara na kurudisha hadhi yake stahiki. Jiji letu halipaswi kuwa na sura za Samuya hata kidogo kwa udhalimu alioacha uendelee kufanyika nchini.
Safisha kila kitu chenye chembe chembe ya Samuya