Hatuna internet tunakaa ndani kufanya niniTokeni humu JF muende mkaongeze nguvu mtaani, mbona hakuna watu, tulitegemea maelfu na maelfu watatoka.
View attachment 3495853
Huna internet na unareply JF? Hebu zima data na utoke humu!Hatuna internet tunakaa ndani kufanya nini
Sasa aibu gani na Dar imesimama 🤣🤣🤣🤣🤣Aibu sana..
Na huko mikoani ndio kabisa hakuna kinachoendelea...