Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeee !Aisee , mkuu unataka wayaondoe Kwa mizinga na salute🤣 unajua Abeli alipofariki Adam na mkewe Hawa walikaa mda mrefu wakiishangaa maiti ya mtoto wao wakifikr ataamka, Mungu akasema zikeni nyie acheni ushamba huyo amebaki kopo tuu..... Ukweli JPM hayupo na imebak historia tu kuwa alikuwa Raisi ..nothing to wait
leo ndio mnasema hivi siyo ?Kwanini usiyaokote wewe ukayapambe chumbani mwako.
We unataka mabango ya Chagua Magufuli uyafanyie nini,?View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435
mliyaacha ya nini miezi yote hiyo ?We unataka mabango ya Chagua Magufuli uyafanyie nini,?
Hapo Ufipa hamjambo?!BURIANI MWENDAZAKE
Ama kwa hakika tenda wema uende zako usingoje shukrani!