lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Huko tuendako Kuna watu wataenda mbele ya picha za bingwa na kutoa maneno makali Sana ya uchungu na hasira.we subiri tu.
Hizo picha hazina tofauti na sanamu ya Saddam Hussein...
Acheni Tu watu wafurahie Kifo cha mshuwa