Iwensanto
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,228
- 1,157
Yaondolewe tu maana hatutaki kuuona tena huo upuuzi barabarani.
View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435