Mabango yenye picha za Hayati Magufuli yaanza kuondolewa barabarani na kwenye ofisi za chama

Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii itatuhakikishia sisi watanzania miradi yetu mikubwa ya kimkakati kuendelezwa na kumalizwa kabisa.

Watanzania tunataka SGR , BWAWA LA NYERERE, UMEME KILA KIJIJI, HUDUMA ZA AFYA KUBORESHWA, BARABARA ZA LAMI KILA KONA, tusipoona haya hatutakuelewa.

Dr Nchemba usiende kuingia kwenye mtego wa wafanyabiashara wakwepa kodi wanaotaka uwafutie kodi zote alafu hizo kodi uwarundikie watanzania masikini mama ntilie na machinga kama ilivyokuwa zamani unakuta mfugaji au mkulima analipa kodi 10 ili amfikishe Ng'ombe wake mnadani, hatutarajii hili kutokea.
Dr Nchemba umejionea mwenyewe ulivyotukanwa na kuchambwa sana baada ya uteuzi wako na wakwepa kodi ( Chadema) wasiolitakia mema taifa hili kwao hata miradi yote ikikwama ni sawa tu, kwa hiyo hao siyo wenzako, hata siku moja usije kusikiliza ushauri wao. Hao ni nyoka kwa taifa hili.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita hatujaona waziri wetu wa fedha akizunguka kuombaomba Ulaya ,kwa hiyo hatutarajii kukuona kila siku upo uwanja wa ndege unaenda kutembeza bakuri.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita tumeambiwa Tanzania ni tajiri na watanzania tunaweza , hatutarajii waziri wetu mpya uanze kuimba Tanzania ni masikini na hatujiwezi kwa lolote ,ukifanya hivyo watanzania hatutakuelewa
 
Hatutaki mindset za kijinga kama yako!

Usimpangie wazuri wetu mpya. Ni mchumi mbobezi anajua cha kufanya.
 
We msvo matupu
 
View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .

View attachment 1742435
Ingekuwa vema muanze kupambana kuimarisha chama chenu kipo nyuma sana......
kuna hati hati ACT ikawazidi kwa mbaali kikawa chama kikuu mbadala wa CCM
habari za Magufuli zilipendwa mnatakiwa kujua hilo....
lkn kama akili zenu ndio hizo za Magu kila siku you lost it all.....
ushauri wa bure huo nimewapa siwachaji hata thumni
 
Back
Top Bottom