Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Unajibisha we mwenyewe, hiyo hausung nayo ni scania,vp ilivyokuwa inaharibika njiani?
 
Hizi nazo zinabeba taka?? Mkuu mbona unajichanganya??
 
Maswala ya dharura sisi ya nn mkuu gari zimetoka zikauzwa watu wakatumia ishu ya dharura unamaanisha nn mkuu? Unajichanganya we kubali f330 ni special bus
 
Unachozungumzia hapa ni kwamba f330 ndio iyo iyo 114-340?? Tuzungumzie f330 kama 330 mm nina amini hata engine head haziingiliani mkuu simama kwenye mada.
una uhakika?
piston , rings con na main bearing cylinder head ni sawa kuanzia 114 340 hadi 380 , na hiyo 330, tofauti inakuja kwenye nozzle tu .
ni tricky though, 114 za mwanzo zilitumia mechanical pump kama 113 hizo haziingiliani na F330 ,
 
Simama kwenye mada niletee f330 ikiwa na cabin
 
naona unakosa point , hadi unatafuta visababu, mie ulaya sijakaa nazungumza kwa ninachokijua tu , ila najua nafahamu hata hizo picha unazozileta we mwenyewe hujawai kuziona katika mazingira yetu , zinabali kuwa special works trucks
Mkuu [emoji16] [emoji16] naona majibu ya kawaida unanipa swala la kutokuwepo tz au ww kutoziona haliingiliani na kutokuwepo hapa tunazungumzia ishu ya dunia nzima maana unaongea ufundi mwingi usio na umuhimu wala ushahidi wala mifano binafsi umeshindwa kuniaminisha ukisemacho na unakataa kitu halisi ninachokupa na mifano juu. Bado ushahidi nakupa bado unabisha.
 
Maswala ya dharura sisi ya nn mkuu gari zimetoka zikauzwa watu wakatumia ishu ya dharura unamaanisha nn mkuu? Unajichanganya we kubali f330 ni special bus
f 330 unafahamu ndio basi pekee ya scania iliyoishi kwa kipindi kifupi sana?
 
f 330 unafahamu ndio basi pekee ya scania iliyoishi kwa kipindi kifupi sana?
Ndio walisitisha production ila bado haiondolei sababu za kutokuwa SPECIAL BUS zilikuwa zinakula wese ila moto wake ni kisanga babaa [emoji1236][emoji1236]
 
Unaendelea kukurupuka, 114 kwa nn isikae kwenye bus?

Kuna ile gari ilikuwa inatoka tanga kwenda singida au shinyanga ilikua na engine ya R420
Unamjua mama Debora wa humu? wewe na yeye mko kama kurwa na doto, pete na kidole.. mnatumia 24hrs kutoa comments zilizojaa , hate, hasira, attacks, povu.. sijui hua mna tatizo gani, popote pale mkitia mguu , lazima mfanye moja wapo ya hiyo niliyotaja

maisha hayapaswi kua hivyo, mtakufa kabla ya wakati wenu, social media haikua na maana hii ambayo mnaonyesha, maisha ni mafupi, enjoy every second of it, kutembea vifua vimejaa hasira chuki , unachowaza tu ni nani ukamwangukie leo.. [emoji23][emoji23].. sio maisha hayo bro, anyway..poleni
 
tubishane kwa point sio picha , hizo gari zenye overhang umezileta hapa kishabiki tu na unajua sio.kitu popular
mie sio fundi ila naongea kutokana na specification sheets
 
Ndio walisitisha production ila bado haiondolei sababu za kutokuwa SPECIAL BUS zilikuwa zinakula wese ila moto wake ni kisanga babaa [emoji1236][emoji1236]
Ally's sports bus mwanza saa 12 jioni
Kambas 330
Musoma express musoma unafika mida ya dinner
Dar express AXL ASZ
Sabco ltd ATH sasaivi moja ipo kwa asante rabi
Nganga Express BPV
Leina tory zilikuwa mbili kahama saa 9
Mtl BNQ siko sure
Abood AZE,AZG,BEQ
Otawa songea
Budget njombe

Kukawa na Akamba dar kampala via nairobi.

Acha kabisa 330 ni heshima
 
We kweli ulikuwa fan kindaki ndaki wa hizo F330, mie nilikuwa nazikubali kwa nguvu tu milimani pamoja na sauti yake ilikwa loaded

kwa mbio list yangu ipo kwa scania 113 380 Addidas ya tawfiq na volvo b7 ya chiku songea hii ilikuwa inaingia mnazi mmoja saa 9 ikitokea songea
 
Umemaliza mkuu scania ana mkataba yani Hana wasiwasi na kazi yake,mchina mkimalizana tu anafuta na namba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…