Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Tonda ilikuwa inatoka Mbeya kwenda Songea mchina alikuwa anaendesha mwenyewe, kwenye milima zilikuwa zinasinzia sana.Acha uongo bhana unakumbuka newforce alikuwa na yutong injini nyuma? Na kuna kampuni iliitwa Tonda unaifahamu?? Zote zilikuwa Yutong hebu niambie zile gari zipo wapi kwasasa japo mabaki tu
Mchina anatumia teknolojia gani?Technology wanayotumia ulaya kujenga mabody ya mabasi Ni ghali mno sisi hatuwezi , wao wanatumia carbon composite na fibres kujenga kuta za body zao , sisi bado tunatumia mabati,
Hatutawaweza kamwe
Sent
Kuna mchina Original na Mchina feki.Mchana haepukiki ndugu. Unaweza kujikuta umevaa Mchina toka soksi mpaka kapelo. Kuangalia exports za China kwenda US za kuanzia computer hadi vifaa vya ujenzi utachoka.
Mkuu anazo 10 tuu usidanganyike
Hivi kwanini huku Tanzania hakuna mabasi yenye ghorofa?Mkuu anazo 10 tuu usidanganyike
Basi za ghorofa hakuna huku kwetu.Hivi kwanini huku Tanzania hakuna mabasi yenye ghorofa?
Majibu ya kitaalamu. Safi sana.Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani.
Mchina basi karibu zote anatumia technology ya euro 1, mechanical injector pump na nozzle , scania za f95 ni euro 5, common rail fuel injection , variable geometry turbocharger etc Ni very efficient, kiasi kwamba waliamua kupunguza cylinder moja , kwa option za mabasi,
F95 Ina uwezo wa kumaintain speed ya 85 kwa kipande kirefu, ndo maana sauli inakuwa ya kwanza kila siku
Sent
Kwenye kujenga body mchina Hana tofauti na standards za ulayaMchina anatumia teknolojia gani?
Hii Ni gemilang body original, Botwana Kuna wababe wanazo hizo , sio hizi huku za Ava tunazodanganyana za akina sauli . moja ya sifa za gemilang Ni kioo kimoja Cha mbele na wiper zinazotazamana
Tatizo ni vipomo kaka tz urefu wa bus mwisho ni mita 12.5 na izo bus hazina option ya 12.5 ni 12 na 13.8 Ukilitaka uchukue singo ambapo mizani litakusumbua ukichukua refu ni abdomal kazi ya fine mizani
Tatizo ni urefu wa kutoka mbele kuja nyuma ndio tatizo cha pili ni kodi.Hivi kwanini huku Tanzania hakuna mabasi yenye ghorofa?
Zishawahi kuwepo kaka kuna tajiri mmoja alikuwa nayo double deck Dar to arusha zilikuwa zinaitwa Bocco kama sikosei tatizo tajiri alikuwa na masharti kama mganga kayapaki maeneo ya tegeta kwa sasaBasi za ghorofa hakuna huku kwetu.
Ukienda Zambia utazikuta za Shalom,Inter city na Juldan.
Basi za ghotofa au hiyo moja hapo juu mdau aliyopost haziwezi kutembea Tanzania kwa sheria za Tanroad, Ni ndefu kwa sheria za Tanroad itabidi zitembee na vipeperushi vya abnormal.Hivi kwanini huku Tanzania hakuna mabasi yenye ghorofa?
Zimepaki tu , huwa naziona sehemu inaitwa lwango NjombeHizi basi sikuizi sizioni barabarani, nini tatizo mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana kaka mbona unatupa chai ya moto alafu haina sukari??Hii Ni gemilang body original, Botwana Kuna wababe wanazo hizo , sio hizi huku za Ava tunazodanganyana za akina sauli . moja ya sifa za gemilang Ni kioo kimoja Cha mbele na wiper zinazotazamana
Sent
Basi za ghotofa au hiyo moja hapo juu mdau aliyopost haziwezi kutembea Tanzania kwa sheria za Tanroad, Ni ndefu kwa sheria za Tanroad itabidi zitembee na vipeperushi vya abnormal.
Ilasi bus wa vwawa ilibidi akate kupunguza urefu marcopolo 2010 yake mpya kabisa kuepuka faini za Tanroad.
Sent
Hii labda ujifurahishe tuu , kwa sheria za Tanroad itabidi itembee na vipeperushi vya abnormal.Na mimi nipost kapicha ka scaniaView attachment 1494387
Unaziona gemilang zikiwa huko Malaysia? Hizi ni injini nyuma haya nitofautishie hizi na izo sauli tuone.Hii Ni gemilang body original, Botwana Kuna wababe wanazo hizo , sio hizi huku za Ava tunazodanganyana za akina sauli . moja ya sifa za gemilang Ni kioo kimoja Cha mbele na wiper zinazotazamana
Sent
Kwa jinsi biashara ya basi ilivyomzingua hawezi kutamani Tena kuwa na magari, kwanza biashara ya Lori za kichina labda ubebe mafuta , sio hard work. ndio hazidumu kabisa huko utasema Bora hata mabasi yao .Mkuu anazo 10 tuu usidanganyike
Zimepaki tu , huwa naziona sehemu inaitwa lwango Njombe
Sent