Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Kuna basi ilikuwa inaitwa Mndeme ilichongwa body walitumia chassis ya Scania Mende. Ilikuwa inapiga Dar kwenda Turiani.
 
Nimeona pia Ila inaondoa maana halisi ya interlink inakuwa pambo tu, Namibia gvm ya interlink ni Tani 70 huku kwetu nafikiri wame Zi limit kwenye Tani 56

Sent
Saizi kuna wengine huku Tanzania kwenye semi trailer za flat bed wanaongeza tela ndogo ya single axle.
 
Wapo wengi sana
Pia kuna horse za swift zina axle nne wameongeza moja nyuma ya diff.
Ikiuma semi trailer jumla axle 7
 
Sheria nyingi za Tanroad zinaumiza , interlink ya south Africa hadi leo inabidi iishie Tunduma .

Sent
Ndio maana hawaendelei lazma ukubari mabadiriko ya technology na sheria zako ziendane na wakat. Hizi sheria zinatuumiza had abiria maana utakuta na wamiliki wa mabas nao wanabana viti kwenye magari yao ili wapate faida
 
Napenda sana nije nimiliki hizi ngoma lakini kwa sheria hizo sizan kama ipo siku Tanzania tutazimiliki.
FB_IMG_15937167205556046.jpg
FB_IMG_15937162204732759.jpg
FB_IMG_15937164789956959.jpg
FB_IMG_15937166025307084.jpg
 
Chasis ya Scania Bus engine nyuma
1583402108092.jpeg


Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani.

Miaka ya katikati Mchina akaleta mabasi ya YUTONG na Zongtong. Matajiri wengi wakazimbilia basi hizi kwasababu ya ulaji mdogo wa mafuta, bodi nzuri, interior design, na unafuu wa vipuri...
Nadhan umeleta Tangazo la Biashara Ila hakuna asiyejua shughul ya new force pale mpaka scania za majinja zinalala mbaya zaid jamaa wamechukua root ndefu dar swax chunya
 
Nadhan umeleta Tangazo la Biashara Ila hakuna asiyejua shughul ya new force pale mpaka scania za majinja zinalala mbaya zaid jamaa wamechukua root ndefu dar swax chunya
We jamaa!!
Kuna ruti ya dar Sumbawanga chunya? Naona nirudi shule nikasome geography!

Sent
 
Sheria zetu za barabara bado ni za kale wanakuambia eti itakua abnormal lazima ulikatie vibali
Wala swala sio kuwa Ni sheria za kale ,Tanroad wana sheria mpya tu za miaka Hadi ya 2017 na bado ni Tatizo
Dola 15000 kwa kutochepuka kuingia mzani ,hii ni ya mwaka juzi tu, na kuna mizani mingine haiko very well posted ,dereva mgeni anaweza asiione akapita bila kupima.

Dola 2000 kwa abnormal, Fuel drops ,e.tc hapo kwenye abnormal pana mambo sio kitoto, hasa kwenye upana, sometimes mzigo hasa wa vichanja unaweza ukayumba upande fulani na kutoa tumbo, hapo ni 2000 dola au vikao.

Ukiingia mzaji na air suspension iliyopasuka , Wana cancel exel yote na utapigiwa hesabu ya overload kwa exel zilizobaki ,
Ni Shida no wonder Zambia ana opt walvis bay port kwa mizigo ya Ulaya

Sent
 
Kabla ya mndeme Upendo ya iringa naye alijarubu mende ikamshinda

Sent
Upendo yake haikuingia barabarani kabisa.

Kuna wazee wa kuchonga body za basi kule Temeke au Buguruni naamini hawawezi kushindwa kuchonga basi kwa chasisi ya Mende.
 
Sasa hapo sini hasara yan gari ya 565hp alafu ikavute ki tela chenye tan 40 au 50 ? Wakat inaweza kuvionganisha hvyo vitela ata vinne na ikatembea
Wanalizombe wana R500 inavuta 30t!
Azam volvo FH hp 610 tani 30..
Sofi motors volvo FH 610 hp nao wanavuta hizo hizo tani 30!
 
Wanalizombe wana R500 inavuta 30t!
Azam volvo FH hp 610 tani 30..
Sofi motors volvo FH 610 hp nao wanavuta hizo hizo tani 30!
Nchi zetu hizi maskini yani kila kitu kimekaa hivyo hivyo , huwez tembeza mzigo zaid ya tani hizo, huwez vuta tela 3, shida tupu
 
Sasa hapo sini hasara yan gari ya 565hp alafu ikavute ki tela chenye tan 40 au 50 ? Wakat inaweza kuvionganisha hvyo vitela ata vinne na ikatembea
Bongo sheria zimebana sana.

Ukitaka usisumbuane nao unaipeleka kule Kilombero ikavute matela ya kubeba miwa kule unaweza ukavuta hata tela 3.Na hakuna mzani gari inatoka shamba unaenda Kiwandani.
 
Back
Top Bottom