t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
zile ni made in India, yes kama Tata hazina mwendoKibongo bongo niliziona fuso za KT ABRI zinavuta 40ft.
Sio super great, ni TV series zile! Sio comfortable, mwendo ni wa kawaida sana maana ni 380hp.. level zao ni akina TATA novus/daewoo!