Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Majinja kumbe wako vyema, najuaga ana gari 4 kumbe anazo 22
 
Majinja kumbe wako vyema, najuaga ana gari 4 kumbe anazo 22
Hii itakuwa kweli
Mfano Kyela stendi naonaga bus linalotoka Dar likifika linapumzika siku 1
Yangekuwa ni ma4 isingewezekana
 
Hili suala wengi hawalijui....scania hatengenezi body...ye ana deal na engine na chases yake tu.

Watengeneza mabody ni hao Marcopolo, Dar Coach na wengineo.
Kuna Scania touring ambayo imeundwa in cooperation with Higer.
 
Scania touring hiyo.
Screenshot_20200704_105519.jpg
 
Zilikuja Nissan Diesel UD, zikaenda, zikaja ISUZU CVR, zikaenda. Mchina alianza na yutong, ikafuata song tong, kaleta higer, golden dragon, sunlong lakini Scania ipo palepale. Kuna mtu kapanda Najmunisa toka secondary mpaka kapiga MD 5, Intern na kamaliza Mmed, na yupo kazini miaka mitatu sasa, Najmunisa Scania ipo tu inadunda....
🤣🤣🤣
 
Mimi nakueleza ukweli kiujumla sauli ana gari 4

1 T226 DPC aka ESCAPE PLAN Hii imepaki huu mwezi wote haipo road Ndio benzi
2 T685 DPN aka IACHE IENDE scania leo inaenda mbeya
3 T300 DRH aka MBEYA BOY Scania leo inatoka mbeya to dar
4 668 DTF aka MJESHI leo imeshida dar jana ilipita na mjamaa wa ulanzi iringa

Mkuu kuna lingine?? Usisite kuuliza chochote nitakujibu hadi utakapotosheka
Na leo imetokea dar, kuja kushtuka Iringa inamwaga oil.

20200721_144957.jpg
 
Back
Top Bottom