Inawezekana nimekosea lakini nimeshapanda gemilang botwana na ilikuwa Man sio scania ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana kaka mbona unatupa chai ya moto alafu haina sukari??
Iyo gari ni SCANIA HIGER TOURING na sio gemilang kaka iyo body imeundwa na HIGER CHINA under scania license,
Hapa bingo hatuna sababu hizi..
Bei
Kodi
Kikubwa Zaidi ni vipimo vya izo bus ni mita 12 na mita 13.8/14 tz mwisho wetu ni mita 12.5 ukinunua ilo shart litembee na escot ya abdomal au ulikate kama ilasi
Botswana hakuna gemilang mkuu chunguza vizuri pengine unazungumzia yale masufuria ya kisauz MCVInawezekana nimekosea lakini nimeshapanda gemilang botwana na ilikuwa Man sio scania ,
Na ilifanana Sana na hiyo alopost mdau
Sent
Hawa wanaotunga hizi Sheria..sijui hua wanawaza nnBasi za ghotofa au hiyo moja hapo juu mdau aliyopost haziwezi kutembea Tanzania kwa sheria za Tanroad, Ni ndefu kwa sheria za Tanroad itabidi zitembee na vipeperushi vya abnormal.
Ilasi bus wa vwawa ilibidi akate kupunguza urefu marcopolo 2010 yake mpya kabisa kuepuka faini za Tanroad.
Sent
Katika post yangu nimekueleza kuwa gemilang ina original kioo kimoja Cha mbele , zile za akina sauli huoni kuwa zina vioo viwili?Unaziona gemilang zikiwa huko Malaysia? Hizi ni injini nyuma haya nitofautishie hizi na izo sauli tuone. View attachment 1494942View attachment 1494943View attachment 1494944
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si la kucheka ila samahani, imebidi nicheke..Kwa jinsi biashara ya basi ilivyomzingua hawezi kutamani Tena kuwa na magari, kwanza biashara ya Lori za kichina labda ubebe mafuta , sio hard work. ndio hazidumu kabisa huko utasema Bora hata mabasi yao .
Sent
Sijui exposure yako Ila nafahamu niliwahi kupanda miaka ya 2011, wakati huo ilikuwa Ni Man ,last time nimepita Botwana ilikuwa mwaka 2014 na bado ilikuwepo hiyo basi , gabarone to fransis TownBotswana hakuna gemilang mkuu chunguza vizuri pengine unazungumzia yale masufuria ya kisauz MCV
Nimeziona nikaishia kusikitika tu, kwa mtaji au jina alikokuwa nalo, alikosa kitu kimoja vital Sana kwenye biashara ya magari ... Information![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si la kucheka ila samahani, imebidi nicheke..
gari zake ni tipper za vifusi, vichwa vyote HOWO
Sheria nyingi za Tanroad zinaumiza , interlink ya south Africa hadi leo inabidi iishie Tunduma .Hawa wanaotunga hizi Sheria..sijui hua wanawaza nn
Ni mita 4.6 kwenda juu , ingekuwa 5.5 malori yangekuwa yanabebana yakipata hitifafu huko maporini. Kwasasa ili uibebe Lori Ni lazima uitoe matairi, na Kama ni Topline kibali lazima kihusike.Sheria tz kwenda juu ni mita 5.5 double deck ina mita 4.2 tatizo sio kwenda juu tatizo ni meter long...
Naona Tanzania matajiri wamepunguza urefu kidogo kwenye tela za Interlink ili wasisumbuliwe kama wakina Simba Mtoto,Usangu na Salman.Sheria nyingi za Tanroad zinaumiza , interlink ya south Africa hadi leo inabidi iishie Tunduma .
Sent
Mkuu nipe uchambuzi kidogo wa zile Basi Grazia Venerale. Nilikuwa naiona njia hiyo ya Njombe siku hizi sijui kama zipo.Boss aliamua kuzipaki zilikuwa na shida kwenye sensa za body kuna muda ilikuwa inajiinua sana ukitaka kuishusha inashuka moja kwa moja hadi chini! Wakashauri ziwekewe mzani ya kawaida akagoma kuwa itakuwa haina tofauti na mabasi ya kichina.. Ile ilikuwa na uwezo unailaza upande uutakao, na hata ikiwa inapita kwenye makorongo ndani huwezi kuhisi chochote..
Ukiileta hi ngoma bongo, lazima Tanroads wakuzingue sana kwenye mizani.Na mimi nipost kapicha ka scaniaView attachment 1494387