Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Iko shida mahali mkuu...

Watu waejiuliza Sauli kunani?

Tunaipanda tufike saa 12 tunaishia kufika saa 2
Wazee wa kubet wanakwambia siku hizi gari za ligi zinaangaliwa kwa jicho la tatu.
 
Ndio hivyo mkuu. Hali ndio hiyo.
Ndio maana siioni ikipita sana hapa road hata weeks 3 huwa inapotea, sabu naishi karibu na stend kuu Mbeya, Naziona zile Scania 3 tu ndo zinapiga kazi...! Kuna shida mahali, kama sio mafundi na vipuli basi hujuma zingine za kibiashara..
 
Ndio maana siioni ikipita sana hapa road hata weeks 3 huwa inapotea, sabu naishi karibu na stend kuu Mbeya, Naziona zile Scania 3 tu ndo zinapiga kazi...! Kuna shida mahali, kama sio mafundi na vipuli basi hujuma zingine za kibiashara..
Kwa sehemu kubwa shida ni vipuli, kupata spare genuine ya benz ni tatizo ukilinganisha na Scania ambao wapo muda mrefu East Africa na wana service centers za uhakika. kuna ile DNH ya zuberi pia ipo yard inakula vumbi tu.Hizo taa mbele kwenye hiyo Benz ya sauli kwa kuziona tu nahisi ni za Golden Dragon (CN).
 
Mercedes Benz haijawahi kuwa na uimara wa scania , never.
 
Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani....

Nikusaidie pia apart from technical issue kwasasa bus kukaa mbele ni ela yko tu Sauli kila dereva anapewa laki ya njian tofauti na posho maana yke nini ndo iyo inamfanya anakua wa kwanza daily na sio kweli kwamba ni performance ya engine pekee
 
Chasis ya Scania Bus engine nyuma

Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani....
Unafikri wamiriki wa mabasi hawazipendi hizo sacaia au benzi 😃😃😃.. Shida mpunga babaaaa
 
Golden dragon ndiyo wamekopi design ya taa kwa neobus.
 
Abood na shabiby wanabebwa na geographical location walizopo, hizo basi zote ulizoziona hapo hakuna hata moja inayotanya safari ya Zaid ya masaa manne, zinapata muda wa kupumzika na check up ya kutosha same applies to shabiby...
kama ni hivyo kwa nini na wao wasijaribu kuichagua rout hii wasichoshe magari yao.
 
kama ni hivyo kwa nini na wao wasijaribu kuichagua rout hii wasichoshe magari yao.
Huwezi ukashindana na Abood kwa route ya dar Moro,nenda msamvu au ubungo utajua ninachomaanisha,

Walijatibu akina islam ,Sadiq ,Moro best , scolastica na wakachemka , Sasa hivi wapo newforce na BM wanajaribu Bahati yao.
Kiufupi Abood amejipanga kutoikosa route hiyo
 
Na Ubunge unawasaidia kinamna flan kina ABOOD na SHABIBY...
 
Chasis ya Scania Bus engine nyuma

Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani.....
Sauli moja Mchina 2 na mkopo wa 1 so unapata mchina tatu
 
Chasis ya Scania Bus engine nyuma

Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani...
banz ni bora kuliko scania.

gharama za kuligharamia benz katika service ni kubwa kuliko scania.

scania waliteka soko kwakua walileta na vipuri kwa wingi
 
bodi ya benz ile ya sauli sio ya kenya


ile ni NEOBUS toka brazill kama ilivyo marcopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…