Myth!
Kwenye real world Mercedes haina uimara huo, Yap zamani walitamba Sana kwa kuwa walikuwa wa kwanza kutengeneza magari , lakini Kuna watu wapo serious kwenye hiyo baishara, huoni basi nyingi za Mercedes kwa sababu Ni sumbufu! Hata south Africa ambao walijatibu basi za Mercedes translux na city to city wengi waliangukia pua, sababu they are serious underpowered and they don't last long!!
Mercedes nyingi zinafanya vizuri zikiwa mpya 0km to 700000 huko baada ya hapo tegemea majanga , swedish zipo vizuri Hadi second life zikija africa unazungumzia km Hadi milioni kadhaa..