Kama utaweka order kiwandani si wanalifupisha kidogo?Irrizar I series
kwa sheria za Tanroad , hiyo Basi itabidi itembee na mabango meupe yaliyoandikwa abnormal mbele na nyuma pamoja na vitambaa viwili vyekundu kwenye side mirrors , huku ikilazimika kutembea kuanzia saa 12 ya asubuhi na mwisho ni 12 jioni. Mana ni ndefu kwa mujib wa sheria zetu
Bei ni very close to billion moja kwa pesa ya Tanzania
Ilasi Express alikuwa na basi ndefu za Marcopolo ilibidi azipunguze urefu hapahapa Bongo.Kama utaweka order kiwandani si wanalifupisha kidogo?
Kwa matumizi ya bongo litafaa?
Inauma sana yan unanunua chombo chako alafu unaambiwa ukipunguze unaenda kukikata tenaIlasi Express alikuwa na basi ndefu za Marcopolo ilibidi azipunguze urefu hapahapa Bongo.
Sidhani kama watakubali hao irrizar , ule urefu unamaana kia wanataka basi ibebe abiria zaidi ya 50 katika 2x2 configuration ,huku abiria wa ki enjoy legroom ya kutosha ,ukipunguza maana yake ni either upunguze idadi ya abiria au uwabane abiria , hata marcopolo 2010 ina urefu Kama huo.Kama utaweka order kiwandani si wanalifupisha kidogo?
Kwa matumizi ya bongo litafaa?
Haha hapana mkuuSio kwamba unataka tuhitimishe SCANIA ni simba wa barabara zetu?
Hapana mkuu semi ni ndefu Kushinda hiyo Basi , for strange reasons sheria za Tanroad zipo very complicatedAsante kwa link bt Kwahyo hizi basi ni ndefu kuliko Yale ya mwendo kasi au zile semi ?
Inabidi aje apunguzie hapa hapa Bongo kama walivyofanya Ilasi expressSidhani kama watakubali hao irrizar , ule urefu unamaana kia wanataka basi ibebe abiria zaidi ya 50 katika 2x2 configuration ,huku abiria wa ki enjoy legroom ya kutosha ,ukipunguza maana yake ni either upunguze idadi ya abiria au uwabane abiria , hata marcopolo 2010 ina urefu Kama huo.
Itakuwa mikono ya mafundi imefanya iwe mdebwedo. Ukiisogelea pembeni kila eneo imeandikwa precautions kuanzia sehemu za kuweka mafuta, coolants na betri.
Volvo si mashine ya kubeza tena kwa njia ya kusini inaanza vipi kuwa mchele mchele.
Volvo ikiwa mpya sawa,Ila katika maisha yake ya mwisho zinasumbua sana , Kama hizo za dar mtwara
Miaka ya 90 ilikuwepo moja chiku express Volvo B7, ilikuwa inaingia mnazi mmoja saa 9 ikitokea songea , baadaye zainab buss service nao wakanunua B7
Akipiga hesabu vizuri ni bora kuachana nayo,irrizar model za kuanzia mwaka 2015 nyingi pale nyuma zinakuja na mfumo wa choo cha haja zote , ni mfumo complex maana unatumia mechanisms na automation Kama choo cha ndege kinavyofanya kazi , na nadhani moja ya expensive add on kit , kwenye price list ya hiyo Basi .Inabidi aje apunguzie hapa hapa Bongo kama walivyofanya Ilasi express
Bongo kuna wababe wa modification ailete tu inaweza ikakatwa kipande chesisi hata Kati au mbele, wazee wa kazi Tabata hawashindwi.Akipiga hesabu vizuri ni bora kuachana nayo,irrizar model za kuanzia mwaka 2015 nyingi pale nyuma zinakuja na mfumo wa choo cha haja zote , ni mfumo complex maana unatumia mechanisms na automation Kama choo cha ndege kinavyofanya kazi , na nadhani moja ya expensive add on kit , kwenye price list ya hiyo Basi .
Akileta habari za kupunguza maana yake anajiingiza tu gharama.
Mkuu hawa Latra kwanini wanazuia hizi basi ndefu wakati mzungu kazitengeneza kisasa kwenye manouvre hizi basi ekseli ya mwisho inakata kona hakuna kuofia ajali.Akipiga hesabu vizuri ni bora kuachana nayo,irrizar model za kuanzia mwaka 2015 nyingi pale nyuma zinakuja na mfumo wa choo cha haja zote , ni mfumo complex maana unatumia mechanisms na automation Kama choo cha ndege kinavyofanya kazi , na nadhani moja ya expensive add on kit , kwenye price list ya hiyo Basi .
Akileta habari za kupunguza maana yake anajiingiza tu gharama
Shida ipo Tanroad sio latraMkuu hawa Latra kwanini wanazuia hizi basi ndefu wakati mzungu kazitengeneza kisasa kwenye manouvre hizi basi ekseli ya mwisho inakata kona hakuna kuofia ajali.
Kama uzito wa kubeba mzigo waweke ambao utaendana na ekseli 3.
Waweke maximum GVM ya basi kama hiyo ikiwa na mzigo ili ifanye kazi kwenye barabara zetu.Shida ipo Tanroad sio latra
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] brother! Mara hii tu volvo imeingia kwenye kundi la wanaosuasua? Volvo hii hii Swedish machine?Volvo ikiwa mpya sawa,Ila katika maisha yake ya mwisho zinasumbua sana , Kama hizo za dar mtwara
Miaka ya 90 ilikuwepo moja chiku express Volvo B7, ilikuwa inaingia mnazi mmoja saa 9 ikitokea songea , baadaye zainab buss service nao wakanunua B7
Mlima !! Mimi sio wanna be fan , ni mtu ninayependa sana mechanics na naifuatilia hasa , of all the makes Swedish wako smart sana , Vovlo ni gari nzuri sana Ila sio kwa masikini.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] brother! Mara hii tu volvo imeingia kwenye kundi la wanaosuasua? Volvo hii hii Swedish machine?
Hata hizo locomotives za TAZARA za kutoka CHINA hizo SDD 20 diesel engine na main generator wametumia kutoka kampuni ya General Electric Transport Division (GE).Na je scania wakiamua kutengeneza treni itakuwaje inamaana itakuwa bora zaidi ya mchina maana itakuwa inapandisha milima vizuri na kuwahi kufika, maana kuna maeneo treni huwa inajikongoja sana.
Hizi sherie zitafanya nife bila kupanda bas za double decker πππMkuu hawa Latra kwanini wanazuia hizi basi ndefu wakati mzungu kazitengeneza kisasa kwenye manouvre hizi basi ekseli ya mwisho inakata kona hakuna kuofia ajali.
Kama uzito wa kubeba mzigo waweke ambao utaendana na ekseli 3.
Unakuta maofisa ni wale wale mawazo mgando ata ukiwapeleke nje wanaweza wasijifunze kitu. Kwan ata kwenye tv hawaoni? Ama unataka kusema hawajui soko la usafirishaji nowday limebadirika nso wabadirike?Waweke maximum GVM ya basi kama hiyo ikiwa na mzigo ili ifanye kazi kwenye barabara zetu.
Exposure ni muhimu sana inabidi maofisa wapelekwe nchi mbalimbali wakajionee na kuja kufanya mabadiliko kwenye sekta ya usafirishaji abiria.