Speed limiter ni story tu.Hakuna cha speed limiter wala nini. Majuzi nilikua naendesha Dar - Iringa, nikiwa speed 110 nilipitwa na basi kama nimekaa. Nikabaki nashangaa tu iwapo kweli limiter zinafanya kazi
na ungemwachia usingemwona tenaSpeed limiter ni story tu.
Huko barabarani upo 140kph na basi yupo nyuma yako.
Kuna siku nilikuwa natoka mlandizi mida ya jioni sana. Kuna new force ya tunduma ikawa inanisumbua niiachie njia.
Nikakaza, naye akakaza. Mpaka tunaacha mbezi mwisho siamini kama basi linaweza kukimbia speed ile tena usiku.
Mabasi hayajakuwa speed limited , yamekuwa speed tracked, zamani kilikuwa na kifaa cha speed limiter amabacho kilikuwa kinafungwa kwenye gari na wengi walivichezea vifaa hivi,Speed limiter ni story tu.
Huko barabarani upo 140kph na basi yupo nyuma yako.
Kuna siku nilikuwa natoka mlandizi mida ya jioni sana. Kuna new force ya tunduma ikawa inanisumbua niiachie njia.
Nikakaza, naye akakaza. Mpaka tunaacha mbezi mwisho siamini kama basi linaweza kukimbia speed ile tena usiku.
Kwa matumizi ya bongo linafaa ni bus nzuri sana hizo , far superior in my view pengine Kushinda marcopolo .Kama utaweka order kiwandani si wanalifupisha kidogo?
Kwa matumizi ya bongo litafaa?
Interlink Kwa bongo kweli ni mzigo kwenye tairi nyingi.Mlima
Honestly sielewi kwa nn transporters bongo wamezishobokea interlink zenye masharti kibao, ukiacha ufupi pia zimekuwa limited kwenye tani 56, Yani hakuna tofauti kubwa na dolly (pulling)
Sasa unaoperate magari matatu, matairi kibao halafu hakuna tija , southern huko interlink ipo na 70 gvm
Mkuu hizi Scania used zinazokuja na mfumo wa 4*2 huwa zinafanyiwa modification ya kuongezewa ekseli 1 katikati.For some reason ufupi wa propeller shaft huongeza ufanisi , ndio sababu g series huwa zinakuja na shaft fupi.
Hub reductions ni kwa ajili ya performance pia Ila ni option kwa wale wanataka high torque kutoka kwenye engine ndogo, hub reduction zipo za Aina mbili high speed na low speed , high speed ,
Tukija kwenye axle configuration 6x2 tag ndio the best kwa torque maana hii huja na propeller fupi , 6x4 ni kwa ajili ya off road applications
Kwa sheria za Tanroad bila kuongeza ekseli Hilo gari litabidi libebe tani karibu nane au kumi pungufuMkuu hizi Scania used zinazokuja na mfumo wa 4*2 huwa zinafanyiwa modification ya kuongezewa ekseli 1 katikati.
Kuongeza ekseli ni kwamba gari haitoweza kufanya kazi nzito, mbona Coca cola kwenye tractor unit zao za Benz wanatumia zikiwa vilevile 4*2 bila kuongeza ekseli na zinavuta tela Kwa safari ndefu.
View attachment 1633421
Tractor unit kama hii mtu akiagiza mara nyingi huwa anaongeza mid lift axle hapo katikati anatoka 4*2 anakuja 6*2, Mimi naona ni matumizi mabovu ya tairi na busta maana hiyo dereva anatumia akiwa na mzigo ikiwa empty inainuliwa juu muda wote na haivuti ni tairi bwege.
Speed limiter ni story tu.
Huko barabarani upo 140kph na basi yupo nyuma yako.
Kuna siku nilikuwa natoka mlandizi mida ya jioni sana. Kuna new force ya tunduma ikawa inanisumbua niiachie njia.
Nikakaza, naye akakaza. Mpaka tunaacha mbezi mwisho siamini kama basi linaweza kukimbia speed ile tena usiku.
Sema ni gharama kuzileta.Kwa matumizi ya bongo linafaa ni bus nzuri sana hizo , far superior in my view pengine Kushinda marcopolo .
Kulifupisha kutoka kiwandani inawezekana ila inaweza ikawa ni costly option kwa sababu inakuwa ni nje ya program za irrirar , mind you ile urefu ni kwa ajili ya ku accomodate comfortably abiria 50+ ina 2x2 config na ndio selling slogan yao "more leg room"
Kuna operator mmoja aliagiza gari kadhaa mpya kutoka kiwandani , batch ya kwanza ilipokuja na kuanzia kutumia akagundua madereva wake wanatumia mafuta vibaya kwa kuwasha aircon bila mpagilio mzuri , Yule operater akamwambia dealer kuwa anataka batch ya pili ije ikiwa haina aircon system , guess what , walimchaji pound 900 more, kudeliver gari hizo zikiwa hazina aircon system
Xt stands for Extra tough, kwa uimara wa chassis na cabins hata suspension , huko ulaya Xt ina engine options nyingi Ila kwetu huku matajiri wananunua 360 xt kutokana na unafuu wa Bei, nina mashaka kama p360 inaweza ikamudu vzr safari ndefu @30tonsMkuu t blj vipi kuhusu Scania P360XT naona imeanza kushika Kasi Kwa kununuliwa na matajiri wa Tanzania.
Uwezo,ubora na nguvu ipoje kama umeifatilia, naona kama hp zimekuwa kawaida wakati sasa watengenezaji wengi wanazipa injini hp kubwa. Maisha ya hizi yatakuwa marefu ikifanya kazi nzito za safari ndefu.
Wakina Azania,Bhanji,Manyanya na Elias Transport hawabebi heavy cargo au abnormal Kwa sasa ndio wanazo. Zikipewa mizigo mikubwa na safari ndefu zikafanya vizuri wengi watazikimbilia.Xt stands for Extra tough, kwa uimara wa chassis na cabins hata suspension , huko ulaya Xt ina engine options nyingi Ila kwetu huku matajiri wananunua 360 xt kutokana na unafuu wa Bei, nina mashaka kama p360 inaweza ikamudu vzr safari ndefu @30tons
Kuna XT zenye V8 engines.Xt stands for Extra tough, kwa uimara wa chassis na cabins hata suspension , huko ulaya Xt ina engine options nyingi Ila kwetu huku matajiri wananunua 360 xt kutokana na unafuu wa Bei, nina mashaka kama p360 inaweza ikamudu vzr safari ndefu @30tons
Ukiwa na engine underpowered inabidi uwe selective sana kwenye kazi unazofanya, hizi new gen scania zilizokujja hapa Tanzania nyingi ni specs za chini sana , sema zinafanya vizuri modi kea sababu ya upya pili sababu tech ya diesel inayotumika kwa sasa common rail na variable geometry turbocharge , inazifanya engine hata ndogo kutoa massive power and torque , Kuna msemo wa kiufundi no replacement for displacement , ikiwa na maana kuwa engine kubwa itabaiki kuwa kubwa , hata Kama engine ndogo itakuwa refined kiadi gamiWakina Azania,Bhanji,Manyanya na Elias Transport hawabebi heavy cargo au abnormal Kwa sasa ndio wanazo. Zikipewa mizigo mikubwa na safari ndefu zikafanya vizuri wengi watazikimbilia.

Elias Transport na Manyanya nadhani wao wana pulling za P360XT Kwa vile wanabeba mizigo ya kawaida zitafanya vizuri.Ukiwa na engine underpowered inabidi uwe selective sana kwenye kazi unazofanya, hizi new gen scania zilizokujja hapa Tanzania nyingi ni specs za chini sana , sema zinafanya vizuri modi kea sababu ya upya pili sababu tech ya diesel inayotumika kwa sasa common rail na variable geometry turbocharge , inazifanya engine hata ndogo kutoa massive power and torque , Kuna msemo wa kiufundi no replacement for displacement , ikiwa na maana kuwa engine kubwa itabaiki kuwa kubwa , hata Kama engine ndogo itakuwa refined kiadi gami
Juzi niliongozana na pulling moja kutoka segera Hadi msata Ina namba za Kenya ilikuwa ina struggle na power na ilikuwa ni new gen p410 Hadi unajiuliza inakuwaje mtu anaunue pulling halafu take engine ndogo akati angeweza hata kuwekewa 540hp engine straight six
For some reason hata matajiri wenyewe inaonekana hawajui wanunue kitu gani kwa kazi zao wanapokwenda na mihela yao saab scania .
Vipi hizi scania 143 Hp 500+Ukiwa na engine underpowered inabidi uwe selective sana kwenye kazi unazofanya, hizi new gen scania zilizokujja hapa Tanzania nyingi ni specs za chini sana , sema zinafanya vizuri modi kea sababu ya upya pili sababu tech ya diesel inayotumika kwa sasa common rail na variable geometry turbocharge , inazifanya engine hata ndogo kutoa massive power and torque , Kuna msemo wa kiufundi no replacement for displacement , ikiwa na maana kuwa engine kubwa itabaiki kuwa kubwa , hata Kama engine ndogo itakuwa refined kiadi gami
Juzi niliongozana na pulling moja kutoka segera Hadi msata Ina namba za Kenya ilikuwa ina struggle na power na ilikuwa ni new gen p410 Hadi unajiuliza inakuwaje mtu anaunue pulling halafu take engine ndogo akati angeweza hata kuwekewa 540hp engine straight six
For some reason hata matajiri wenyewe inaonekana hawajui wanunue kitu gani kwa kazi zao wanapokwenda na mihela yao saab scania .
Nafikiri maelezo yangu yalikuwa mengi mpaka sikueleweka vizuri!For some reason ufupi wa propeller shaft huongeza ufanisi , ndio sababu g series huwa zinakuja na shaft fupi.
Hub reductions ni kwa ajili ya performance pia Ila ni option kwa wale wanataka high torque kutoka kwenye engine ndogo, hub reduction zipo za Aina mbili high speed na low speed , high speed ,
Tukija kwenye axle configuration 6x2 tag ndio the best kwa torque maana hii huja na propeller fupi , 6x4 ni kwa ajili ya off road applications
Xt ipo v8 pia ila ni ghali sana , hauliers wa hapa bongo walitakiwa waagize kuanzia 460xt Hadi 540xt hizi p360 ni gutless zinafanya vizuri tu saa hii sababu ni mpya , ndio sababu blue coast akibeba makaa kwenda Tanga anaona bora azunguke Lindi kuliko kuparamia milima ya njombe songeaElias Transport na Manyanya nadhani wao wana pulling za P360XT Kwa vile wanabeba mizigo ya kawaida zitafanya vizuri.
Kasheshe ni gari kama hiyo unaipa abnormal cargo kwenda Goma,Katanga kisha unampa dereva asiye kuwa mstaarabu akiishurutisha sana gari ikirudi inakuwa haitamaniki.
Hizi P360XT hakuna zenye V8 engine.