Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Ukiwa na engine underpowered inabidi uwe selective sana kwenye kazi unazofanya, hizi new gen scania zilizokujja hapa Tanzania nyingi ni specs za chini sana , sema zinafanya vizuri modi kea sababu ya upya pili sababu tech ya diesel inayotumika kwa sasa common rail na variable geometry turbocharge , inazifanya engine hata ndogo kutoa massive power and torque , Kuna msemo wa kiufundi no replacement for displacement , ikiwa na maana kuwa engine kubwa itabaiki kuwa kubwa , hata Kama engine ndogo itakuwa refined kiadi gami

Juzi niliongozana na pulling moja kutoka segera Hadi msata Ina namba za Kenya ilikuwa ina struggle na power na ilikuwa ni new gen p410 Hadi unajiuliza inakuwaje mtu anaunue pulling halafu take engine ndogo akati angeweza hata kuwekewa 540hp engine straight six
For some reason hata matajiri wenyewe inaonekana hawajui wanunue kitu gani kwa kazi zao wanapokwenda na mihela yao saab scania .
Bro matajiri wengi wananunua gari kwa kuangalia fashion na sio specifications! Wengine hushauriwa na wapambe tu wasiojua chochote!

Mimi hofu yangu ni zile G310 zenye piston 5 from India. Hizi anazo mek one/pwani hauliers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi hizi scania 143 Hp 500+

swali langu ni
Kwann waswahili au wafanya Biashara wa huku kwetu hawazinunui? huyu sio mwendelezo wa familia ya 113??
Danpol
Scania 143 ni vintage kwa sasa , in fact hata wazungu wanazitafuta kwa ajili ya restoration kwenye shows huko Europe ,especially hizo 500hp signature,
Huku kwetu wengi walizinunua mtumba lakini zilikuwa zinapigwa vita na mafundi wetu , na zilionekana Kama ni heavy kwenye mafuta kwa hiyo nyingi ziliachwa zife au zilibadilishwa engine na kuwa 113

Scania 143 500 ndio ilikuwa Lori ya kwanza kuwa na hp 500 dunia I, hi ilikuwa ni Miaka ya 90
 
Bro matajiri wengi wananunua gari kwa kuangalia fashion na sio specifications! Wengine hushauriwa na wapambe tu wasiojua chochote!

Mimi hofu yangu ni zile G310 zenye piston 5 from India. Hizi anazo mek one/pwani hauliers.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nimeziona kiukweli nimeishia kusikitika tu , ungetegemea matajiri wa invest kwenye information ili anapotaka kununua tool awe anajua abcd zake , sasa g310 ni engine ya basi mtu anaibebesha tani 30 anakwenda kongo
 
Xt ipo v8 pia ila ni ghali sana , hauliers wa hapa bongo walitakiwa waagize kuanzia 460xt Hadi 540xt hizi p360 ni gutless zinafanya vizuri tu saa hii sababu ni mpya , ndio sababu blue coast akibeba makaa kwenda Tanga anaona bora azunguke Lindi kuliko kuparamia milima ya njombe songea
At least hapa jamaa alijitahidi kwenye G460
Truckers%20of%20Tanzania%2020190111_200427.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nimeziona kiukweli nimeishia kusikitika tu , ungetegemea matajiri wa invest kwenye information ili anapotaka kununua tool awe anajua abcd zake , sasa g310 ni engine ya basi mtu anaibebesha tani 30 anakwenda kongo
Sema hapo hata muuzaji nae anazingua, anapaswa amshauri mteja kulingana na shughuli zake anazofanya
 
Danpol
Scania 143 ni vintage kwa sasa , in fact hata wazungu wanazitafuta kwa ajili ya restoration kwenye shows huko Europe ,especially hizo 500hp signature,
Huku kwetu wengi walizinunua mtumba lakini zilikuwa zinapigwa vita na mafundi wetu , na zilionekana Kama ni heavy kwenye mafuta kwa hiyo nyingi ziliachwa zife au zilibadilishwa engine na kuwa 113

Scania 143 500 ndio ilikuwa Lori ya kwanza kuwa na hp 500 dunia I, hi ilikuwa ni Miaka ya 90
Hivi mkuu Automotive mobile engineering kwa VETA mtu akienda kuisoma inalipa?
 
Hata mimi ndoto zangu zipo huku mkuu ukiweza kujiajiri kwenye hii sekta pesa ipo kila siku
 
Sema hapo hata muuzaji nae anazingua, anapaswa amshauri mteja kulingana na shughuli zake anazofanya
+1
Ila na yeye akikuona huelekei vizuri anaona bora auze tu product apate Faida ,decent tools comes at price , hizi new generation tunazoziona hapa kwetu , ni very very basic option, Bado hatujawa na series s , amabyo by default inakuja na front air ride suspension, pamoja na engines zenye uwezo mkubwa radiators kubwa na water cooled gearbox kwa ajili ya heavy duty application
 
Chasis ya Scania Bus engine nyuma
1583402108092.jpeg

Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani.

Miaka ya katikati Mchina akaleta mabasi ya YUTONG na Zongtong. Matajiri wengi wakazimbilia basi hizi kwasababu ya ulaji mdogo wa mafuta, bodi nzuri, interior design, na unafuu wa vipuri.

Njia nyingi Scania zikaanza kuadimika, na watu wakasahau makali ya muziki wa Scania Njia ya Mbeya Kuna mabasi yanaitwa Sauli, ni Scania na Mercedes Benz. Yutong na zongtong zinaonekana kama Leyland CD, zinapitwa kama zimesimama, iwe ni mlimani, tambarare au mteremkoni, Mchina anapigwa home and away.

Pia nimeshawahi kusafiri sana na Volvo za Zainabs, mwendo wake haukuwa wa kitoto Wala wa kimama, ngoma ni mbio, nguvu, balance na stability ya uhakika.

Sasa naona kama mchina anaanza kupoteza imani kwa namna mabasi ya Sauli yanavyomfanya huko Mbeya.
Bei ya youtong coach bus inaweza ikawa sh nhapi?
 
Nafikiri maelezo yangu yalikuwa mengi mpaka sikueleweka vizuri!

Msingi wa swali ulikuwa hivi:
Wanaposema truck ina certain torque at 900 rpm, wanamaanisha truck ipi ?
Rigid au tractor? Hub reduction au diff ya kawaida? 8×4 au 4×2 etc.

Au kuna calibration zinafanyika ili hizo version zote ziwe na same digits?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sasa nimekuelewa
Kiufupi hakuna calibration yoyote inayofanyika bali ili ku maintain torque digits huwa Wana vary drive train ratios hapa tunazungumzia diff
Drive ratio huapatikana kwa kuhesabu idadi ya meno kwenye cranwheel (spelling Sina hakika ) kugawanya idadi ya meno kwenye pinion. Kwa mfano wheel ina meno 37 , pinion ina meno 12 ratio ya hii diff ni 3.08 , Kama wheel ina meno 38 na pinion meno 13 , hii diff itakuwa na ratio ya 2.92,
Kwa lugha nyepesi kabisa 6x2 ,6x4 zina final ratio tofauti kabisa Ili kumaintain torque figures . Kwa lugha hiyo hiyo pia maana yake ni kuwa kutokana na kutofautiana kwa ratio , gari hizi huwa na sifa tofauti tofauti , mfano gari ya hub reduction huwa inauwezo mkubwa wa ku maintain torque bali haina mwendo, 6x2 huwa Ina mwendo ,lakini haina uwezo wa ku maintain torque , the list goes on and on
 
Bro matajiri wengi wananunua gari kwa kuangalia fashion na sio specifications! Wengine hushauriwa na wapambe tu wasiojua chochote!

Mimi hofu yangu ni zile G310 zenye piston 5 from India. Hizi anazo mek one/pwani hauliers.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo za Pwani Hauliers zitakula sana spana kama Howo na Foton anaziacha mpaka zinakuwa kama trip town.Hizo gari zitadumu Kwa atakaye vuta tela za tenki sio hawa wa flat bed trailer.
 
Hizo za Pwani Hauliers zitakula sana spana kama Howo na Foton anaziacha mpaka zinakuwa kama trip town.Hizo gari zitadumu Kwa atakaye vuta tela za tenki sio hawa wa flat bed trailer.
You nailed it
 
Xt ipo v8 pia ila ni ghali sana , hauliers wa hapa bongo walitakiwa waagize kuanzia 460xt Hadi 540xt hizi p360 ni gutless zinafanya vizuri tu saa hii sababu ni mpya , ndio sababu blue coast akibeba makaa kwenda Tanga anaona bora azunguke Lindi kuliko kuparamia milima ya njombe songea
Lakini si anagharamika sana mafuta na millage?
 
Hizi gari za hv sio za kubeba tani 30, matumiz mabaya ya hiki chombo
Haha hapana sio matumizi mabaya infact Kuna hesabu zake pia
Engine kubwa ikifanya kazi nyepesi huws inakaa muda mrefu sana maana muda mweingi inakua Kama ina run empty, vile vile Kuna namna ya kuendesha ambapo fuel economy inakuwa nzuri kuliko hata straight six hasa likibeba mizigo ya kawaida
V8 ni gari ambayo haishuki thamani kirahisi , na ukinunua leo inaweza ku operate hata Miaka 20.
 
Back
Top Bottom