mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Bro matajiri wengi wananunua gari kwa kuangalia fashion na sio specifications! Wengine hushauriwa na wapambe tu wasiojua chochote!Ukiwa na engine underpowered inabidi uwe selective sana kwenye kazi unazofanya, hizi new gen scania zilizokujja hapa Tanzania nyingi ni specs za chini sana , sema zinafanya vizuri modi kea sababu ya upya pili sababu tech ya diesel inayotumika kwa sasa common rail na variable geometry turbocharge , inazifanya engine hata ndogo kutoa massive power and torque , Kuna msemo wa kiufundi no replacement for displacement , ikiwa na maana kuwa engine kubwa itabaiki kuwa kubwa , hata Kama engine ndogo itakuwa refined kiadi gami
Juzi niliongozana na pulling moja kutoka segera Hadi msata Ina namba za Kenya ilikuwa ina struggle na power na ilikuwa ni new gen p410 Hadi unajiuliza inakuwaje mtu anaunue pulling halafu take engine ndogo akati angeweza hata kuwekewa 540hp engine straight six
For some reason hata matajiri wenyewe inaonekana hawajui wanunue kitu gani kwa kazi zao wanapokwenda na mihela yao saab scania .
Mimi hofu yangu ni zile G310 zenye piston 5 from India. Hizi anazo mek one/pwani hauliers.
Sent using Jamii Forums mobile app