Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Bro matajiri wengi wananunua gari kwa kuangalia fashion na sio specifications! Wengine hushauriwa na wapambe tu wasiojua chochote!

Mimi hofu yangu ni zile G310 zenye piston 5 from India. Hizi anazo mek one/pwani hauliers.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi hizi scania 143 Hp 500+

swali langu ni
Kwann waswahili au wafanya Biashara wa huku kwetu hawazinunui? huyu sio mwendelezo wa familia ya 113??
Danpol
Scania 143 ni vintage kwa sasa , in fact hata wazungu wanazitafuta kwa ajili ya restoration kwenye shows huko Europe ,especially hizo 500hp signature,
Huku kwetu wengi walizinunua mtumba lakini zilikuwa zinapigwa vita na mafundi wetu , na zilionekana Kama ni heavy kwenye mafuta kwa hiyo nyingi ziliachwa zife au zilibadilishwa engine na kuwa 113

Scania 143 500 ndio ilikuwa Lori ya kwanza kuwa na hp 500 dunia I, hi ilikuwa ni Miaka ya 90
 
Hata mimi nimeziona kiukweli nimeishia kusikitika tu , ungetegemea matajiri wa invest kwenye information ili anapotaka kununua tool awe anajua abcd zake , sasa g310 ni engine ya basi mtu anaibebesha tani 30 anakwenda kongo
 
At least hapa jamaa alijitahidi kwenye G460

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nimeziona kiukweli nimeishia kusikitika tu , ungetegemea matajiri wa invest kwenye information ili anapotaka kununua tool awe anajua abcd zake , sasa g310 ni engine ya basi mtu anaibebesha tani 30 anakwenda kongo
Sema hapo hata muuzaji nae anazingua, anapaswa amshauri mteja kulingana na shughuli zake anazofanya
 
Hivi mkuu Automotive mobile engineering kwa VETA mtu akienda kuisoma inalipa?
 
Hata mimi ndoto zangu zipo huku mkuu ukiweza kujiajiri kwenye hii sekta pesa ipo kila siku
 
Sema hapo hata muuzaji nae anazingua, anapaswa amshauri mteja kulingana na shughuli zake anazofanya
+1
Ila na yeye akikuona huelekei vizuri anaona bora auze tu product apate Faida ,decent tools comes at price , hizi new generation tunazoziona hapa kwetu , ni very very basic option, Bado hatujawa na series s , amabyo by default inakuja na front air ride suspension, pamoja na engines zenye uwezo mkubwa radiators kubwa na water cooled gearbox kwa ajili ya heavy duty application
 
Bei ya youtong coach bus inaweza ikawa sh nhapi?
 
Hapa sasa nimekuelewa
Kiufupi hakuna calibration yoyote inayofanyika bali ili ku maintain torque digits huwa Wana vary drive train ratios hapa tunazungumzia diff
Drive ratio huapatikana kwa kuhesabu idadi ya meno kwenye cranwheel (spelling Sina hakika ) kugawanya idadi ya meno kwenye pinion. Kwa mfano wheel ina meno 37 , pinion ina meno 12 ratio ya hii diff ni 3.08 , Kama wheel ina meno 38 na pinion meno 13 , hii diff itakuwa na ratio ya 2.92,
Kwa lugha nyepesi kabisa 6x2 ,6x4 zina final ratio tofauti kabisa Ili kumaintain torque figures . Kwa lugha hiyo hiyo pia maana yake ni kuwa kutokana na kutofautiana kwa ratio , gari hizi huwa na sifa tofauti tofauti , mfano gari ya hub reduction huwa inauwezo mkubwa wa ku maintain torque bali haina mwendo, 6x2 huwa Ina mwendo ,lakini haina uwezo wa ku maintain torque , the list goes on and on
 
Hizo za Pwani Hauliers zitakula sana spana kama Howo na Foton anaziacha mpaka zinakuwa kama trip town.Hizo gari zitadumu Kwa atakaye vuta tela za tenki sio hawa wa flat bed trailer.
 
Hizo za Pwani Hauliers zitakula sana spana kama Howo na Foton anaziacha mpaka zinakuwa kama trip town.Hizo gari zitadumu Kwa atakaye vuta tela za tenki sio hawa wa flat bed trailer.
You nailed it
 
Lakini si anagharamika sana mafuta na millage?
 
Hizi gari za hv sio za kubeba tani 30, matumiz mabaya ya hiki chombo
Haha hapana sio matumizi mabaya infact Kuna hesabu zake pia
Engine kubwa ikifanya kazi nyepesi huws inakaa muda mrefu sana maana muda mweingi inakua Kama ina run empty, vile vile Kuna namna ya kuendesha ambapo fuel economy inakuwa nzuri kuliko hata straight six hasa likibeba mizigo ya kawaida
V8 ni gari ambayo haishuki thamani kirahisi , na ukinunua leo inaweza ku operate hata Miaka 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…