Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Zile, duh... Zina engine ya Cummins, mabasi mengi yaendayo mikoani huja na engine hizo, hazitoboi mwaka huanza kusumbua, matajiri huziondoa na kuweka engine za Scania
Hiv mda wanazinunua hakupata ushauri zwa kitaalam kutoka kwa mainjinia wao ama nao ni wale wale bora liende?
 
Zile, duh... Zina engine ya Cummins, mabasi mengi yaendayo mikoani huja na engine hizo, hazitoboi mwaka huanza kusumbua, matajiri huziondoa na kuweka engine za Scania
Hivi cummins engine original si ni za Marekani Mkuu, kwani machina naye amazon?hii ni copy and paste 😂😂😂
 
Zile, duh... Zina engine ya Cummins, mabasi mengi yaendayo mikoani huja na engine hizo, hazitoboi mwaka huanza kusumbua, matajiri huziondoa na kuweka engine za Scania
pia naona hazitengenezeki, ukiyaona haya magari yalivyopaki pale jangwani utagundua kwa kiasi gani huko serikalini kulivyojaa wajuaji na si watu wanaojua mambo katika tasnia husika. Pia kwa wamiliki ni hivyo hivyo, kumshauri mswahili akishabahatisha hela ni kazi ngumu sana. Anaona ameshaweza na kujua mambo yote.
 
Inasikitisha
 
mkuu sahihi kabisa
vivuko vingi vya kiserikali vilikuwa powered na cummins , hata gensets za serikali pia nyingi ni cummins , na zinasumbua balaa .watu wamekariri vibaya on american engines, leo hii halmashauri wakinunua mtambo au wheelloaders basi itakuwa caterpillar. lakini kuna mashine za kijerumani liebherr zina outsmart caterpillar kuanzia ufanisi hadi kudumu.
 
Tatizo lipo kwenye wataalam wao, kutokuwa na utaalam na uzoefu wa kutosha zaid upande wa field nalo ni tatizo kubwa
 
Ni kitu ya mmarekani, ila inatengenezwa China, na wachina wanakupa kitu Bora kutokana na pesa yako
hata hizo original detroit , cummins na cat za kimarekani kutoka america kabisa , they dont last as European ones , vivuko vingi vilikuwa powered na cummins straight kutoka kwa mama USA , and they just didn't last.
pale kazungura zambia botswana boarder kuna kivuko kilikuwa powered na scania 114 marine engine, kilidumu kwa miaka mingi hadi sasa hivi nasikia kumejengwa daraja
halafu american engines just like Chinese hazikubali overhaul , ndomaana ikifa watu wanatoa wanaweka scania
 
You deserve my salute
 
Deutz,Case, Lihebher shughuli yake sio ya kitoto ingawa hazina majina makubwa midomoni kwetu.
 
Deutz,Case, Lihebher shughuli yake sio ya kitoto ingawa hazina majina makubwa midomoni kwetu.
kuna liebherr wheelloader ipo mgodi flani i a 10+ years of hard work 20 hours a day , haijawahi guswa engine na very fast , light on fuel, ilikuja cat , na volvo kazi hiyo hiyo zote zimekufa na zilikuwa slow na heavy on diesel
 
Nina jamaa yangu amezaliwa kakuta kwao kuna trekta Ina injini ya Deutz air cooled engine. Imeendeshwa na mikono kibao injini bado nzima haikuwai kupata tatizo kubwa.
 
Ile engine ni Scannia sasa hivi. Sijui majinja walikwama wapi wakabadili.
Volvo zina cylinder head moja Kwa piston zote 6, ukishakuwa Volvo iliyozoeeka Ku deal na challenge za engine breakdown inakua nearly impossible , Ile head tu kuitoa pale si chini ya watu wanne, katika mazingira ya basi ndo ngumu zaidi,, kiufupi Volvo zinataka mazingira rasmi kufanya matengenezo makubwa , kuwe na chain block na vitu kama hivyo
Scania ni unit cylinde head hata mtu mmoja anafanya overhaul popote pale .
 
Kuna hiyo mashine ya Long wall ya Liebherr niliona huko youtube jinsi inavyofanya kazi ngumu ya kuchimba makaa ya mawe kuonekana ya kawaida na nyepesi, nikalinganisha na ule ukwanguaji wanaoufanya stamico kule songea, kisha wanajisifu tumeongeza ufanisi kwa % fulani-fulani nikaishia kujisemea sisi waswahili tunapenda uhuni kwenye mambo serious. Such efficiencies zilimfanya dangote aone unafuu wa kuagiza makaa kutoka SA mpaka Mtwara, kuliko kuyasogeza kutoka hapo Kitai. Naamini kabisa wapanga mikakati mingi serikalini ni hawa ma-phD holders na hapo ndo matatizo yanapoanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…