Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Hiv mda wanazinunua hakupata ushauri zwa kitaalam kutoka kwa mainjinia wao ama nao ni wale wale bora liende?Zile, duh... Zina engine ya Cummins, mabasi mengi yaendayo mikoani huja na engine hizo, hazitoboi mwaka huanza kusumbua, matajiri huziondoa na kuweka engine za Scania