mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Dc07 mmeibatiza tu, ila ni American built bromlima
scania uliyoleta hapa inatumia engine ya Dc 07, Dc ni code name ya engine za scania, dc 09 ,dc 11 dc 14 etc
paccar unayosema ni PX 7
kwa nini unalazmisha dc iwe px?
Doh tumeibatiza tena !!!Dc07 mmeibatiza tu, ila ni American built bro
Naielewa vizuri hiyo njia, hizo peterbilt na kenworth zilikaa mda gani na sasa ziko wapi? Sorry for this question.
Kuna gari nyingi tu zina uwezo wa kawaida zinakomaa na makaa daily kama zile dongfeng za dollowboy, p410 tena single diff nilikuwa nakutana nazo ije kuwa peterbilt?
Hapa mpaka unipe maelezo ya kutosha ndiyo ntaamini! Pengine labda hazikuwa na matunzo
Stralis pia uliwahi kuziponda, lakini nas haulage ndiyo wanasombea makaa mpaka kesho
114c dump truck inabadilishwaga matairi tu na ipo chini ya mswahili haijawai mkosesha hela ya kula. 114L Mwanza huduma anazibebesha cement na dangler juu, zinapeleka mzigo na kurudi. 114L 380hp transporters waswahili na tamaa zao wanazibebesha mizigo tani 32 ingawa kwenye milima mikali zinapanda kwa adabu kidogo ila zinafikisha mizigo. Unazungumziaje situation hizo tatu kiongozi ambazo mbili kati ya hizo unaona kabisa imekua exposed kwa kazi ambayo ni ya juu ya uwezo wake? Ila pia sikupingi kiongozi yawezekana hiyo situation yako ni kweli, but you can't have someone gamble on that western star as a replacement.Jassie & company wanayo western star dump truck inapiga kazi mpaka kesho ila kuna 114 hapo hapo zimeshaaga mashindano.
DIAZ na TRH wanazo international na freightliner zinakomaa na transit mpaka kesho! Lakini kuna kampuni nyingi tu wanatumia European trucks na bado hawana uhakika na safari.
PACAAR ilibidi aache ku-source components toka Cummins ili kuongeza ubora. Tokea achukue hatua hiyo kidogo ahueni na ukuaji anauona na amegeuka kuwa competitor wa cummins. Kwenye engine, Scania anafanya manufacturing and components design in-house ili ku-control kwa quality na ana a proven track record katika hili. Juzi kati nimepakia mzigo kwenye 113 moja ya zamani sana. Muda wa safari ulipowadia nikamwambia dereva mimi tutakutana mjini, niliitilia shaka ile chuma inaweza nilaza njiani siku kadhaa nikaishiwa hadi hela ya kula! Ile chuma ilitoboa kwa wakati aisee. Cha kushangaza zaidi dereva ananiambia engine ile inavuliwa inaenda kuveshwa kwenye cab nyingine topline ambayo itakua comfortable kidogo tayari kwa safari za transit za congo na zambia.Mkuu usijustify ubovu wa benz kwa kigezo cha TransAfrica tu!
Yapi merkez anatumia MP4 8×4 kwa wingi sana kubeba vifusi ambapo body linajaa zaidi ya 20 cubic metres lakini ukiziona gari ni kama zimeingia nchini jana.
Tukirudi kwenye scania, umenishangaza sana mpaka sasa hujajua kuna scania L series 2017 model yenye paccar engine with 7L displacement? Usiniabishe bro! Wewe ni balozi ujue [emoji28][emoji28][emoji28]
Na hizo DAF unazozikubali zinatumia paccar engines ambazo ndiyo hizo hizo zilizoko kwenye kenworth na peterbilt! Ukiikubali daf lazima u'appreciate the power of American built engines mkuu!
Wenzetu wana hela. Angekuwa mswahili hapo ambae amepata pesa za vuuh! sahivi angekua anakumbukia enzi tu..stralis anazotumia ahmed nass ni batch ya tatu ya stralis sio zile zile za mwanzo
alitumia stralis mwazo zikafa zote , akanunua fleet za Dayun na faw , hizi zilivuta trailer za blue za super doll, zikafa zote , hizi unazoziona sasa ni third attempt.
piterbilt nina mwaka wa tatu huu sijawahi kukutana nazo njia hiyo. hizo nilizosimulia zilikuja safari moja tu hazikurudi na kuna moja ilitoka kama scraper na dongfeng za dollow boys bado ni mpya kuzijadili maana kwenda Tanga anazunguka na njia ya mtwara kuogopa milima ya njombe songea, njombe songea anapita akiwa anaenda empty songea
Sawa mkuu nimekuelewa vyema sana! Kuna muda huwa natamani sana kuwawekea ushahidi lakini najizuia kuharibu kazi za watu.PACAAR ilibidi aache ku-source components toka Cummins ili kuongeza ubora. Tokea achukue hatua hiyo kidogo ahueni na ukuaji anauona na amegeuka kuwa competitor wa cummins. Kwenye engine, Scania anafanya manufacturing and components design in-house ili ku-control kwa quality na ana a proven track record katika hili. Juzi kati nimepakia mzigo kwenye 113 moja ya zamani sana. Muda wa safari ulipowadia nikamwambia dereva mimi tutakutana mjini, niliitilia shaka ile chuma inaweza nilaza njiani siku kadhaa nikaishiwa hadi hela ya kula! Ile chuma ilitoboa kwa wakati aisee. Cha kushangaza zaidi dereva ananiambia engine ile inavuliwa inaenda kuveshwa kwenye cab nyingine topline ambayo itakua comfortable kidogo tayari kwa safari za transit za congo na zambia.
kabisaWenzetu wana hela. Angekuwa mswahili hapo ambae amepata pesa za vuuh! sahivi angekua anakumbukia enzi tu..
Alaf zinabei mbaya sana hizo gari.Scania P410 za Blue Coast wanatumia njia ya Songea kupitia Lindi na Mtwara.
Njia ya kati kuanzia dar-mwanza ni moja ya njia nyepesi kabisa kwa malori ya mizigo, ingawa naona ina ajali sana ila si njia ngumu kabisa.Sawa mkuu nimekuelewa vyema sana! Kuna muda huwa natamani sana kuwawekea ushahidi lakini najizuia kuharibu kazi za watu.
Mwanza huduma hakuna 114 hata moja yenye denglar! Kwanza zikija dar pulling zote huwa zinabebwa na muda wa kurudi utazionea huruma pale saranda!
Na huyo huyo mwanza huduma alinunua R za convoy ambazo tayari zilikuwa zimeaga mashindano akafunga mashine nyingine nadhani zitakuwa zimeanza kazi tayari.
yapAlaf zinabei mbaya sana hizo gari.
We acha tu chief sijui hawa wenzetu wanakuaga na mitambo ya kuchapishia hela ama vipi. Sema acha tu tuendelee kuchuma-chuma na kudunduliza kidogo kidogo ili kama si sisi basi walau wanetu waje wamiliki hivi vyuma.kabisa
jamaa alinunua dayun na faw mpya pamoja na trela mpya za superdoll supe single, "michelin " unazungumzia trucks zaidi ya 70 @ 100+millions, halafu ndani ya miaka minne zikawa scraped.
nilishangaaga sana kuiona scania moja ina 540hp alaf haina ile nembo pendwa ya v8.yap
ni Dc 13 ile gari , engine yake bado ipo productiin pipeline to date , latest Dc 13 ina 540 hp.
bei yake haitofautiani sana na next generation scanai
Nilijishauaga siku moja nikatinga pale saab scania kuulizia bei ya malori. Niliondoka pale nikiwa najiuliza, hivi nilienda kuulizia bei ya malori au ndege. Ingawa wanatoa option ya financing ni bora mtu ujichangange ununue mtumba cash.yap
ni Dc 13 ile gari , engine yake bado ipo productiin pipeline to date , latest Dc 13 ina 540 hp.
bei yake haitofautiani sana na next generation scanai
pole mkuu , bei za scania ni kichefu chefu, halafu ukinunua mpya hata bima comprehensive yake ni kipengele kingine, hasa ukizingatia kazi zinafanya za aina mojaNilijishauaga siku moja nikatinga pale saab scania kuulizia bei ya malori. Niliondoka pale nikiwa najiuliza, hivi nilienda kuulizia bei ya malori au ndege. Ingawa wanatoa option ya financing ni bora mtu ujichangange ununue mtumba cash.
540 hp ni Dc 13 straight six v8 mpya inaanzia 530. 590, 660 na 770hp hii ni dc 16.nilishangaaga sana kuiona scania moja ina 540hp alaf haina ile nembo pendwa ya v8.
Na hawakubali bima tofauti na ile wanayokupa wao waki-cite kuwa majority ownership bado ipo chini yao kama uta-opt wakufinance.pole mkuu , bei za scania ni kichefu chefu, halafu ukinunua mpya hata bima comprehensive yake ni kipengele kingine, hasa ukizingatia kazi zinafanya za aina moja
[emoji3][emoji3]michina ni mazafaka kwa kwelikabisa
jamaa alinunua dayun na faw mpya pamoja na trela mpya za superdoll supe single, "michelin " unazungumzia trucks zaidi ya 70 @ 100+millions, halafu ndani ya miaka minne zikawa scraped.