stralis anazotumia ahmed nass ni batch ya tatu ya stralis sio zile zile za mwanzo
alitumia stralis mwazo zikafa zote , akanunua fleet za Dayun na faw , hizi zilivuta trailer za blue za super doll, zikafa zote , hizi unazoziona sasa ni third attempt.
piterbilt nina mwaka wa tatu huu sijawahi kukutana nazo njia hiyo. hizo nilizosimulia zilikuja safari moja tu hazikurudi na kuna moja ilitoka kama scraper na dongfeng za dollow boys bado ni mpya kuzijadili maana kwenda Tanga anazunguka na njia ya mtwara kuogopa milima ya njombe songea, njombe songea anapita akiwa anaenda empty songea