t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Sio kwamba wanaotumia mabasi ya kichina hawana akili, naweza kusema hawana taarifa kamili , milioni 900 ni nyingi sana , ilq basi ya 250 mil inapoanza kuzingua ilhali bado ni mpya nayo ni nightmare.Una maana wanaonunua Yutong hawana akili? Wewe unaongea kishabiki ila ukiona waliopo kwenye field wanashift toka Scania Marcopolo na aina nyingine kwenda kwa mchina ujue inawalipa. Biashara ni tofauti sana na mawazo ya watu wa kawaida. Kwenye biashara kuna calculation kubwa sana za risks na ukiona majority wanahama ujue wamesha calculate
Basi sita mpya marcopolo g series za superfeo ni karibu bilioni sita , unaongelea karibu basi 20 za kichina hapo, superfeo amekua muumini wa fleets za kichina toka anaanza biashara ya mabasi makubwa jiulize kwanini ameamua kufanya Expensive U turn . Angeweza kuongeza mabasi 20 ya zhongtong, lakini asingeweza kutangaza route ya songea mwanza , songea moshi au mbamba bay dar kwa fleets za kichina.