Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Wakuu kuna basi moja lilikuwa linaitwa kikondo la dar-mby liliweka record ya kuingia mby saa 7 mchana uyole wengi sijaona likiongelewa,lilikuwa ni mtumba injini nyuma fuso,kuna siku tulilikuta comfort likaondoka kabla yetu konda akasema huku milimani tutalikuta njiani ajabu tunafika stand kuu mbeya limepaki na halina hata abiria mmoja!ila lilikufa halikumudu ku-survive.
 
Scania wana-introduce new powertrain, wenyewe wanaiita "Super Powertrain" straight six, 13 litre, aligning with the low revs philosophy. What are your insights on this new product range. Any better than the new top of the range V8's ambazo zita-hit kwenye soko mwakani? ingawa kuna wadosi washaanza kuzinunua. Kwa mwendo huu wanaoenda nao Scania, sijui Volvo watawajibu vipi maana Scania wanadai wao ndo huongoza kwenye innovation kisha wengine hufuata( the power of deep specialization in your field of expertise).
At your own time Chief, how would you compare the Scania R500 Next Gen vs Volvo FH13 500 hp in real world application.
One day kwenye mishe mishe zangu za kuhangaikia rizki, nakutana na R560 Next Gen ila mdau kafoji, kachukua badge ya V8 kapachika kule upande wa kulia. Nikacheka sana, nikajisemea si angeongeza senti tu asuuze roho na V8 original, ama vp hata mtumba fulani tu hivi uliosimama!
 
Kuna route huwezi kupeleka hizo Youtong, mfano Dar Songea.

Abood anazo Youtong lakini mpaka kesho ni lazima anunuwe na Scania kwa special mission.

Route za Dar Moro hata bajaj unaweza kutumia.
Super Feo ametumia Youtong kwa zaidi ya miaka 15 route hiyo ya Songea Dar na hajawahi laza watu njiani na kampuni linazidi kukua mwaka hadi mwaka. Kibiashara bado inalipa. Na sasa ameanzisha route ya Songea Mwanza na bus alizoweka ni Zhongtong. Kibiashara bus za mchina ni bora zaidi ya hizo za Scandnavia. Pia ulaji wa mafuta za kichina nina unafuu zaidi ukilinganisha na hizo Scandnavian fleet.
 
Dar Songea

Zimejaa Yutong, Zhongtong, Sunlong kibao tu

Kwa maoni yako hiyo route ina shida gani?
Hizo scania ndio Super Feo kazileta sasa hazina hata miezi miwili tangu zianze kutumika. Lakini kabla tumeona ni mchina tu na hajawahi laza watu porini.... Na kibiashara Super Feo kampuni limekuwa likitumia mabus ya kichina kwa zaidi ya miaka 15. Kibiashara yanalipa.....
 
Scania wana-introduce new powertrain, wenyewe wanaiita "Super Powertrain" straight six, 13 litre, aligning with the low revs philosophy. What are your insights on this new product range. Any better than the new top of the range V8's ambazo zita-hit kwenye soko mwakani? ingawa kuna wadosi washaanza kuzinunua. Kwa mwendo huu wanaoenda nao Scania, sijui Volvo watawajibu vipi maana Scania wanadai wao ndo huongoza kwenye innovation kisha wengine hufuata( the power of deep specialization in your field of expertise).
At your own time Chief, how would you compare the Scania R500 Next Gen nn kuhangaikia rizki, nakutana na R560 Next Gen ila mdau kafoji, kachukua badge ya V8 kapachika kule upande wa kulia. Nikacheka sana, nikajisemea si angeongeza senti tu asuuze roho na V8 original, ama vp hata mtumba fulani tu hivi uliosimama!

Mkuu
Next gen superpowertain ya scania wamezindua juzi !!
It is an all new 13litres scania engine . Imenishangaza kidogo maana for the first swedes wanaelekea ku prove kuwa Japanese walikuwa mbali sana kiufundi.
Engine hii mpya kwa mara ya kwanza inaenda kuvunja miiko ya scania ya unit cylinders head , hii inatumia cylinder head moja kwa piston zote sita na itatumia dual overhead cam Dohc, tekinolojia ambayo mjapan anatumia kwenye engine zake kwa karibia miaka 30 sasa.
Low rev philosophy ya scania ukijumlisha na hi dohc itaifanya hii engine kuwa na 8% savings kwenye mafuta , which is impressive.
Engine hii sidhani kama itakuwa nzuri kwa hauliers wa nchi masikini kama Tanzania , kwanza ni Euro 6eev , scania Tanzania hawakuuzii engine zaidi ya euro 3, ikitokea mtu na pesa zake akaamua kununua truck ya engine hii huko ulaya , basi hatopewa warranty, nani anataka kurisk pesa yote hiyo na asipewe warranty? So the only time tutaiona hii engine hapa bongo ni baada ya miaka 5 plus ikiwa kama mtumba . Mind you hata 13 litres 500hp six , bado hapa bongo haijaingia.

Umezungumzia power ratings , kwenye haulage industry Torque is everything, kwenye mechanical work however how Torque is delivered ni kipengele kingine muhinu pia , Them V8 zina tabia ya kudeliver very stable torque , hi ni kwa kwa sababu ya firing oder za karibu karibu na na ndio sababu huwa zina maisha marefu sana , straight 6 hata kama in torque aoutput kubwa , huwa indeliver with vibration na ndio sababu haiishi maisha marefu, Azam alikuwa na 660 hp Volvo , sizioni tena road.

Yap kuna watu wanafoji badge , hahha , a V8 is like Truck porn at its best, everyone will want to touch and test how it feels , but it is only for the grown ups.
 
Hizo scania ndio Super Feo kazileta sasa hazina hata miezi miwili tangu zianze kutumika. Lakini kabla tumeona ni mchina tu na hajawahi laza watu porini.... Na kibiashara Super Feo kampuni limekuwa likitumia mabus ya kichina kwa zaidi ya miaka 15. Kibiashara yanalipa.....
Mkuu unarudia kusema miaka 15 ya basi za kichina na hii sio kweli, Feo hana miaka hiyo na basi za kichina . Kampuni za mwanzo kumiliki youtong zilikuwa New force na Tonda bus .

Youtong za kwanza kuja nchini zilikwenda Dar Tunduma na zilikuwa Engine nyuma , namba kama sikosei zilikuwa AXV.... Hii ilikuwa kama mwaka 2009, sina uhakika kama feo alikuwa na youtong miaka hiyo ila naamini youtong zake za kwanza zilikuwa namba B that is late 2010.
Binafsi katika safari zangu za abunuasi nimelala njiani mara kadhaa nyingi ikwa ni basi za kichina , hasa youtong. Record breakin kuna moja ilikuwa ndo safari yake ya kwanza brand new na tulilala njiani kisa gear lever cable imekatika .
 
Hizo scania ndio Super Feo kazileta sasa hazina hata miezi miwili tangu zianze kutumika. Lakini kabla tumeona ni mchina tu na hajawahi laza watu porini.... Na kibiashara Super Feo kampuni limekuwa likitumia mabus ya kichina kwa zaidi ya miaka 15. Kibiashara yanalipa.....
Kama kuna kitu kinambeba Feo kwenye biashara za mabasi ni Monopoly. Anajaribu hilo hadi kwenye biashara yake ya trucking Jamaa ana hadi radio station ya kumpigia chapuo, hii imetokama na kuwa kwa miaka mingi route ya songea ilionekana kuwa ni ngumu kwa matajiri wengi , hii ni kuwa ili ufanikiwe unahitaji kuwa na base kubwa ya mafundi na spare ukiwa Ruvuma kuliko popote pale kama unafanya biashara ya basi. Jamaa ameajiri hadi wachina kwa ajili ya maintanace wa gari zake zikiwa songea.

Lakini kwa sasa Ruvuma ina njia mbili za kufika huko , labda watu wanaweza kujipanga kwenda songea kwa route easy ya kupitia Lindi , japo Manning nice alijaribu na kushindwa.
 
Siku moja niende songea kutembea tu
 
Sawa kuna speed limit , mfano kwanin mara nyingi sauli ambayo ni scania inawahi kufika mbeya..

1) madereva wazuri
2)ubora wa gari,, milima sio mchezo kwa mchina
3)scania za sauli zimefungwa booster kwa hiyo kwenye humps inapita na zote na watu ndani ya gari wanakua comfortable tu,, sasa pitisha mchina mtagongesha kwenye roof ya gari mpaka mvunjike shingo
Sababu moja wapo sauli alitoka urafiki saa 11 na dk20 basi likiwa full hakuingia stendi ya mbezi akaliunga mbeya wakati wenzie wanatoka 12 kamili
 
Mkuu unaipata DZU 175 ya Jafari na Chris kusanya sauli zako zote azifui dafu Kwa chuma

Iyo Zhoungtong ni ZF high speed ni umeme

Chuma ni mbele mbele yao

Kama mmbishi fata chuma
Sawa kuna speed limit , mfano kwanin mara nyingi sauli ambayo ni scania inawahi kufika mbeya..

1) madereva wazuri
2)ubora wa gari,, milima sio mchezo kwa mchina
3)scania za sauli zimefungwa booster kwa hiyo kwenye humps inapita na zote na watu ndani ya gari wanakua comfortable tu,, sasa pitisha mchina mtagongesha kwenye roof ya gari mpaka mvunjike shingo
 
Mkuu unaipata DZU 175 ya Jafari na Chris kusanya sauli zako zote azifui dafu Kwa chuma

Iyo Zhoungtong ni ZF high speed ni umeme

Chuma ni mbele mbele yao

Kama mmbishi fata chuma
Hiyo ni facelift tu same engine, same gearbox na model iliyopita. Bado kila siku inaachiwa vumbi na sauli zenye miaka 4 road bila kusahau marcopolo DXE.
 
Mkuu unaipata DZU 175 ya Jafari na Chris kusanya sauli zako zote azifui dafu Kwa chuma

Iyo Zhoungtong ni ZF high speed ni umeme

Chuma ni mbele mbele yao

Kama mmbishi fata chuma
Dzu ni gari ambayo hata miezi miwili haina barabarani,
Mchina hadi leo hii bado anatumia steel suspenision nyuma hivyo hawezi kupiga tuta comfotably kama gari yenye airbags.
Bado sana maana itachakaa na kuziacha sauli
 
Aiseee😳
 
Back
Top Bottom