Halafu ununue posche cayenne ya nini sasa limitation ni 40 gari ina 300km/h!Rwanda speed limit ni 40 km/h
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ununue posche cayenne ya nini sasa limitation ni 40 gari ina 300km/h!Rwanda speed limit ni 40 km/h
HahaHalafu ununue posche cayenne ya nini sasa limitation ni 40 gari ina 300km/h!
Scania wana-introduce new powertrain, wenyewe wanaiita "Super Powertrain" straight six, 13 litre, aligning with the low revs philosophy. What are your insights on this new product range. Any better than the new top of the range V8's ambazo zita-hit kwenye soko mwakani? ingawa kuna wadosi washaanza kuzinunua. Kwa mwendo huu wanaoenda nao Scania, sijui Volvo watawajibu vipi maana Scania wanadai wao ndo huongoza kwenye innovation kisha wengine hufuata( the power of deep specialization in your field of expertise).Haha
Super Feo ametumia Youtong kwa zaidi ya miaka 15 route hiyo ya Songea Dar na hajawahi laza watu njiani na kampuni linazidi kukua mwaka hadi mwaka. Kibiashara bado inalipa. Na sasa ameanzisha route ya Songea Mwanza na bus alizoweka ni Zhongtong. Kibiashara bus za mchina ni bora zaidi ya hizo za Scandnavia. Pia ulaji wa mafuta za kichina nina unafuu zaidi ukilinganisha na hizo Scandnavian fleet.Kuna route huwezi kupeleka hizo Youtong, mfano Dar Songea.
Abood anazo Youtong lakini mpaka kesho ni lazima anunuwe na Scania kwa special mission.
Route za Dar Moro hata bajaj unaweza kutumia.
Sio kwamba ana shift.... Hapa ana nunua za makampuni yote kwa sasa ameagiza Zhongtong nyingineSuper feo anashift toka yutong na kwenda kununua marcopolo G7, unalizungumziaje hili mkuu?View attachment 1994423
Hizo scania ndio Super Feo kazileta sasa hazina hata miezi miwili tangu zianze kutumika. Lakini kabla tumeona ni mchina tu na hajawahi laza watu porini.... Na kibiashara Super Feo kampuni limekuwa likitumia mabus ya kichina kwa zaidi ya miaka 15. Kibiashara yanalipa.....Dar Songea
Zimejaa Yutong, Zhongtong, Sunlong kibao tu
Kwa maoni yako hiyo route ina shida gani?
Scania wana-introduce new powertrain, wenyewe wanaiita "Super Powertrain" straight six, 13 litre, aligning with the low revs philosophy. What are your insights on this new product range. Any better than the new top of the range V8's ambazo zita-hit kwenye soko mwakani? ingawa kuna wadosi washaanza kuzinunua. Kwa mwendo huu wanaoenda nao Scania, sijui Volvo watawajibu vipi maana Scania wanadai wao ndo huongoza kwenye innovation kisha wengine hufuata( the power of deep specialization in your field of expertise).
At your own time Chief, how would you compare the Scania R500 Next Gen nn kuhangaikia rizki, nakutana na R560 Next Gen ila mdau kafoji, kachukua badge ya V8 kapachika kule upande wa kulia. Nikacheka sana, nikajisemea si angeongeza senti tu asuuze roho na V8 original, ama vp hata mtumba fulani tu hivi uliosimama!
Mkuu unarudia kusema miaka 15 ya basi za kichina na hii sio kweli, Feo hana miaka hiyo na basi za kichina . Kampuni za mwanzo kumiliki youtong zilikuwa New force na Tonda bus .Hizo scania ndio Super Feo kazileta sasa hazina hata miezi miwili tangu zianze kutumika. Lakini kabla tumeona ni mchina tu na hajawahi laza watu porini.... Na kibiashara Super Feo kampuni limekuwa likitumia mabus ya kichina kwa zaidi ya miaka 15. Kibiashara yanalipa.....
Kama kuna kitu kinambeba Feo kwenye biashara za mabasi ni Monopoly. Anajaribu hilo hadi kwenye biashara yake ya trucking Jamaa ana hadi radio station ya kumpigia chapuo, hii imetokama na kuwa kwa miaka mingi route ya songea ilionekana kuwa ni ngumu kwa matajiri wengi , hii ni kuwa ili ufanikiwe unahitaji kuwa na base kubwa ya mafundi na spare ukiwa Ruvuma kuliko popote pale kama unafanya biashara ya basi. Jamaa ameajiri hadi wachina kwa ajili ya maintanace wa gari zake zikiwa songea.Hizo scania ndio Super Feo kazileta sasa hazina hata miezi miwili tangu zianze kutumika. Lakini kabla tumeona ni mchina tu na hajawahi laza watu porini.... Na kibiashara Super Feo kampuni limekuwa likitumia mabus ya kichina kwa zaidi ya miaka 15. Kibiashara yanalipa.....
Soma mjadala ulipoanzia hadi nikajibu hivyo mkuu...Sio kwamba ana shift.... Hapa ana nunua za makampuni yote kwa sasa ameagiza Zhongtong nyingine
Siku moja niende songea kutembea tuKama kuna kitu kinambeba Feo kwenye biashara za mabasi ni Monopoly. Anajaribu hilo hadi kwenye biashara yake ya trucking Jamaa ana hadi radio station ya kumpigia chapuo, hii imetokama na kuwa kwa miaka mingi route ya songea ilionekana kuwa ni ngumu kwa matajiri wengi , hii ni kuwa ili ufanikiwe unahitaji kuwa na base kubwa ya mafundi na spare ukiwa Ruvuma kuliko popote pale kama unafanya biashara ya basi. Jamaa ameajiri hadi wachina kwa ajili ya maintanace wa gari zake zikiwa songea.
Lakini kwa sasa Ruvuma ina njia mbili za kufika huko , labda watu wanaweza kujipanga kwenda songea kwa route easy ya kupitia Lindi , japo Manning nice alijaribu na kushindwa.
Sababu moja wapo sauli alitoka urafiki saa 11 na dk20 basi likiwa full hakuingia stendi ya mbezi akaliunga mbeya wakati wenzie wanatoka 12 kamiliSawa kuna speed limit , mfano kwanin mara nyingi sauli ambayo ni scania inawahi kufika mbeya..
1) madereva wazuri
2)ubora wa gari,, milima sio mchezo kwa mchina
3)scania za sauli zimefungwa booster kwa hiyo kwenye humps inapita na zote na watu ndani ya gari wanakua comfortable tu,, sasa pitisha mchina mtagongesha kwenye roof ya gari mpaka mvunjike shingo
Sawa kuna speed limit , mfano kwanin mara nyingi sauli ambayo ni scania inawahi kufika mbeya..
1) madereva wazuri
2)ubora wa gari,, milima sio mchezo kwa mchina
3)scania za sauli zimefungwa booster kwa hiyo kwenye humps inapita na zote na watu ndani ya gari wanakua comfortable tu,, sasa pitisha mchina mtagongesha kwenye roof ya gari mpaka mvunjike shingo
Hiyo ni facelift tu same engine, same gearbox na model iliyopita. Bado kila siku inaachiwa vumbi na sauli zenye miaka 4 road bila kusahau marcopolo DXE.Mkuu unaipata DZU 175 ya Jafari na Chris kusanya sauli zako zote azifui dafu Kwa chuma
Iyo Zhoungtong ni ZF high speed ni umeme
Chuma ni mbele mbele yao
Kama mmbishi fata chuma
Dzu ni gari ambayo hata miezi miwili haina barabarani,Mkuu unaipata DZU 175 ya Jafari na Chris kusanya sauli zako zote azifui dafu Kwa chuma
Iyo Zhoungtong ni ZF high speed ni umeme
Chuma ni mbele mbele yao
Kama mmbishi fata chuma
Aiseee😳Dzu ni gari ambayo hata miezi miwili haina barabarani,
Mchina hadi leo hii bado anatumia steel suspenision nyuma hivyo hawezi kupiga tuta comfotably kama gari yenye airbags.
Bado sana maana itachakaa na kuziacha sauli
Umefufuka tayari