Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mercedes Mzee ni shida nyingine hiyo kwanza inatembea tuu swala la matengenezo sio leo wala kesho sasa ukute kaweka Engine ya Actros humo si balaa hilo maana Actros inataka kubeba mzigo mkubwa harafu inabeba abiria hao wachache atabaki kusifiwa tuu...maana bodi ni ya Kenya ile sio merc au ya Scania kama nilivyosikia..
Hivi magari Kama Bedford, Leyland, ERF bado yanatengenwzwa
 
Mwanza to mbeya ni route ya wafanyabiashara waliochoka kiuchumi, nan yuko tayar kutumia siku 2'kwa route 1 kila mara?

Mwanza kwenda dar ni route ilitawaliwa na scania za kisbo enzi hizo lakin tangu waje hawa wanaume wawil TUNGI'S na ALLY'S miscania yote inahemea puani.

Hata kisbo mtaalam wa scania nae ameamua kununua basi mpya za kichina, mkiacha kusikiliza story za bodaboda mtaujua ukwel wa hii tasnia
Sema moja ya sababu! Mkuu scania weka mbali na mchina. Route za masafa marefu na zenye milima ndo utajua scania ni baba lao ukitaka muulize mchina why hana route ya mwanza mbeya
 
Afadhali unisaidie , Mana Kuna watu wamekariri Benz na sidhan wanajua mapungufu yake , wanyaruanda wanakula hasara za kutosha songea kwenye Actross na gari bado mpya kabisa

Sent
Sauli mwenyewe anajuta
 
Sawa ila haiko kihivyo, niko na evidence nyingi na niliwahi hata kupost hapa.
Watu wanacheza na system mkuu vts tangu mwanzo haijawahi fanya kazi kwa ufanisi wa 100% ikitokea iwe ivyo gari inaingia mbeya saa 5 usiku

Kilimanjaro wakati anaanza walimsumbua sana hasa moro na iringa gari karibu zote zimeshawahi fungiwa na sumatra majuzi tuu hapa walivyofungiwa madereva wa sauli na Alsaedy klm kuna gari ilipigwa umeme pia.

Dereva ukioverspeed vts ikiwa nzima unafungiwa derrva kama dereva adhabu inaanzia mwezi 1 mitatu hadi 6

Ukichezea VTs inafungiwa gari siku 30
 
Kama wanakula hasara mbona wanaendelea kuziagiza? Si tungeona wananunua scania zinazowapa faida..

Mkuu nilishakwambia gari ni matunzo tu kuanzia maintainance mpaka driver...
Unaongea vitu gani mkuu?

Benz mwaka juzi walitambulisha gari zao aina ya NEOBUS wakaweka bei zile gari walimpelekea dar ex akakataa zile gari zilikaa hadi moja akaja ichukua sauli na moja ipo yard kwa zuberi ameinunua ila haitumii namba DNH

Scania wakatambulisha Gemilang na walionunua ni

Burdan namba DHX 1
Tashriff 1
Rungwe 4
Dar express 4
Sauli 3

Sauli gari yak3 ya kwanza ni benzi na leo tunavyoongea imepaki tuu haitembei scania ndio zinambeba kwa sasa

Benzi ni gari nzuri ila kwa tz vipuli vitakutesa na utaipaki tuu
 
Watu wengi humu wanajadili vitu bila kufuatilia, huyo sauli kitu kinachosababisha azipite bus za mchina ni hizo airbags (boosters).

Siku zote wakitoka dar had iringa sauli huwa anakimbizwa, kipande pekee anachowakalisha wachina ni kipande cha igawa had mbeya mjini ambapo barabara imejaa mashimo, yeye anafukia tu


Ila kiuwezo kuanzia miliman had tambarare hawez kufikia nguvu ya cummins, ule ni umeme wazee. Gari za kichina tuziponde kwny durability ila sio speed na comfortability.
Sauli ni lazima atokee nyuma sababu anaanzia ubungo sheria ya ubungo kutoka ni saa 12 kamili na siku nyingine zinaanza gari za kanda ya ziwa na kaskazini sauli anapotoka lazima anakuwa nyuma ukiona mtu anatoka nyuma alafu anamfikia wa mbele jua jamaa yuko vizuri deer anatokea shekilango saa 11:30 anatoka kabla ya sauli. Pili acha kufananisha scania na mchina kwenye mlima.
 
Acha uongo,majinja anakalishwa kila siku na Golden deer ya sumbawanga.

Yale mabasi ya majinja ni malory
Unaota wewe sio bure kutoka swax deer kukaa mbele ya majinjah kwa mwezi mara 1 [emoji23]
 
Isanga , safari nyingibza south kuja dar zinaanzia jhb, , jhb kwenda boarder yoyote ya kuja dar hakuna km 1000, Boader ni lazima utapoteza muda na truck itarelax, kutoka jhb Hadi dar hakuna namna truck itaamaliza km 1000 non stop ,ndio sababu mimekwambia hiyo ni safari rahisi sababu Ina vituo vingi

Sent
Muda mwingine nabeba matunda apples na wine zinatokea Stellenbosch huko Mimi nina miaka 20 nusu ya umri wangu Mkuu nimepita boda zooote zilizopo kwenye Nchi yeyote harakati nilianza mapema sana nachokwambia namaanisha sio kwamba nasikia...
 
Watu wengi humu wanajadili vitu bila kufuatilia, huyo sauli kitu kinachosababisha azipite bus za mchina ni hizo airbags (boosters).

Siku zote wakitoka dar had iringa sauli huwa anakimbizwa, kipande pekee anachowakalisha wachina ni kipande cha igawa had mbeya mjini ambapo barabara imejaa mashimo, yeye anafukia tu.

Ila kiuwezo kuanzia miliman had tambarare hawez kufikia nguvu ya cummins, ule ni umeme wazee. Gari za kichina tuziponde kwny durability ila sio speed na comfortability.
Hamna gari ya kichina inayoweza kutembea na gari ya mzungu kwenye milima mchina lazima akae tu
 
Acha kudanganya basi benz ya sauli iko barabarani
Unaongea vitu gani mkuu?

Benz mwaka juzi walitambulisha gari zao aina ya NEOBUS wakaweka bei zile gari walimpelekea dar ex akakataa zile gari zilikaa hadi moja akaja ichukua sauli na moja ipo yard kwa zuberi ameinunua ila haitumii namba DNH

Scania wakatambulisha Gemilang na walionunua ni

Burdan namba DHX 1
Tashriff 1
Rungwe 4
Dar express 4
Sauli 3

Sauli gari yak3 ya kwanza ni benzi na leo tunavyoongea imepaki tuu haitembei scania ndio zinambeba kwa sasa

Benzi ni gari nzuri ila kwa tz vipuli vitakutesa na utaipaki tuu
 
Myth!
Kwenye real world Mercedes haina uimara huo, Yap zamani walitamba Sana kwa kuwa walikuwa wa kwanza kutengeneza magari , lakini Kuna watu wapo serious kwenye hiyo baishara, huoni basi nyingi za Mercedes kwa sababu Ni sumbufu! Hata south Africa ambao walijatibu basi za Mercedes translux na city to city wengi waliangukia pua, sababu they are serious underpowered and they don't last long!!

Mercedes nyingi zinafanya vizuri zikiwa mpya 0km to 700000 huko baada ya hapo tegemea majanga , swedish zipo vizuri Hadi second life zikija africa unazungumzia km Hadi milioni kadhaa...
Uache ungo na pia sio woote hawajui, nipo israel hapa nimwaka wa saba root zoote ndefu mpaka nje ya nchi hakuna bus zinazo aminika kama za kampuni ya benz. Huwaambii lolote kuhusu Benz, wewe wa makongolosi unasema nini bwana?
 
Ww ndio hujui kitu uliona lini mm kila siku niko road huu mwezi wote haipo road usibishe tena nakuambia mara 3 usibishane
Niambie sauli ziko gari ngapi barabarani saa hizo shida wewe unamahaba na scania
 
Niambie sauli ziko gari ngapi barabarani saa hizo shida wewe unamahaba na scania
Mimi nakueleza ukweli kiujumla sauli ana gari 4

1 T226 DPC aka ESCAPE PLAN Hii imepaki huu mwezi wote haipo road Ndio benzi
2 T685 DPN aka IACHE IENDE scania leo inaenda mbeya
3 T300 DRH aka MBEYA BOY Scania leo inatoka mbeya to dar
4 668 DTF aka MJESHI leo imeshida dar jana ilipita na mjamaa wa ulanzi iringa

Mkuu kuna lingine?? Usisite kuuliza chochote nitakujibu hadi utakapotosheka
 
Unataka kusema nini? Mabasi yote yamefungwa speed limit, barabarani Kuna touch, huo mwendo Ni upi? Issue kubwa hapo Ni unafuu wa manunuzi na uendeshaji wa mabasi ya kichina basi
Uzi ufungwe, ushamaliza
 
Back
Top Bottom