Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

We jamaa usipotoshe bus zote speed mwisho 85 hata sisi tunasafiri mara kwa mara.
Huwa sipendi kubishana na mtu huwa napendelea facts. Niko na facts wala sijaropoka, ulitaka Latra wakubali au mkubali kuwa hii kitu haipo tena? Nambie leo ni basi gani linatumia hio kitu? Hio corruption unayozungumzia ndio na mimi naizungumzia kuwa hii ilikua ni corrupt project ya watu. Uzuri huw anatumia speedometer kila nikisafiri kwa basi na niko na evidence, thi shsit doesnt exist tena.

Leo hii basi la kutoka Mbeya linafika Dar saa mbili usiku, la Mwanza saa tano hadio sita....niko na screeshots kibao mtu anatembea hadi 140km/hr usiku.
 
Unabisha wakati picha ipo hapo wakati ni day cab hazinaga nafasi ya kitanda
Hizi ndiyo day/duty cab! Uliyopost wewe ni sleeper..
Screenshot_2020-06-22-07-28-09-1.jpg
Screenshot_2020-06-22-07-28-28-1.jpg
 
We jamaa unaongea nn, south mizigo wanchaii Bei ghali sio kwa sababu ni safari yenye risks kibao lakini sio eti ni mbali
Kuna jamaa huwa anakuja kununua spea , anatumia 113 choka mbaya, na anatoboa,
Unahitaji truck imara zaidi Kama unakwenda bugarama Rwanda , kuliko Kama ungekwenda cape town south Africa kutoka dar.

Sent
Hakuna unachokijua ila unajifanya unajua dogo kuna gari moja imechoka ndio inapeleka mafuta Rwanda na DRC...ukiwa na gari mbovu sio kwamba hautafika ila utapata tabu sana kule tunakuita UEFA...
 
Hakuna unachokijua ila unajifanya unajua dogo kuna gari moja imechoka ndio inapeleka mafuta Rwanda na DRC...ukiwa na gari mbovu sio kwamba hautafika ila utapata tabu sana kule tunakuita UEFA...
Mkuu msifike mbali sana, wewe na brother t blj ni miongoni mwa wachangiaji wenye kuheshimika sana!
 
Tatito huwezi nunua Scania ambayo iko Bus tayari, ambazo ziko tayari ni Engine nyuma. Engine nyuma kwa kwetu si nzuri, kumbuka Sumry alivyoteseka.

Njia ya kupata bus la Scania ni kununua Chasis halafu unachonga body, kama Kisbo, City boy n.k

Mchina bus zake zipo tayari lakini engine, diff na gearbox ni nzito tofauti na Scania.
Ili kuifanya Yutong kuwa nyepesi Princes Muro alikuwa ananunua Yutong Mpya halafu anavua Engine, Diff na Gearbox anafunga za Scania. Huo moto si wa mchezo.
 
kumbe hizo scania zipo juu
eeh, gari ambayo inaweza kwenda zaid ya miaka 10 bila tatizo lolote kubwa unaweza zipata bei sawa na hiyo michina ambayo miaka 3 kumaliza ni ndoto?
 
Tatito huwezi nunua Scania ambayo iko Bus tayari, ambazo ziko tayari ni Engine nyuma. Engine nyuma kwa kwetu si nzuri, kumbuka Sumry alivyoteseka.

Njia ya kupata bus la Scania ni kununua Chasis halafu unachonga body, kama Kisbo, City boy n.k

Mchina bus zake zipo tayari lakini engine, diff na gearbox ni nzito tofauti na Scania.
Ili kuifanya Yutong kuwa nyepesi Princes Muro alikuwa ananunua Yutong Mpya halafu anavua Engine, Diff na Gearbox anafunga za Scania. Huo moto si wa mchezo.
Hizo anazolimilik Rungwe, saul , Dar express zinakuja zikiwa tayari ziko full
 
Hizo anazolimilik Rungwe, saul , Dar express zinakuja zikiwa tayari ziko full
Zile Dar Express ni Body za Dar Coach au zimetengenezwa Nairobi. Kwa Ulaya wameshaachana na Technology ya Engine Mbele.

Kilimanjaro Express anatumia Marcopolo ambazo zilikuwa za Scandinavia miaka hiyo kazitunza hadi leo.

Body za Kenya ni nzuri sana unaweza fikiri zimetoka ulaya, mfano angalia Tahmid safi sana na zinakimbia kweli kweli.
 
Wewe na order yako tu ukitaka engene mbele unapewa halafu siku hizi saab scania engine nyuma hawaagizi tena hapa tz
Zile Dar Express ni Body za Dar Coach au zimetengenezwa Nairobi. Kwa Ulaya wameshaachana na Technology ya Engine Mbele.

Kilimanjaro Express anatumia Marcopolo ambazo zilikuwa za Scandinavia miaka hiyo kazitunza hadi leo.

Body za Kenya ni nzuri sana unaweza fikiri zimetoka ulaya, mfano angalia Tahmid safi sana na zinakimbia kweli kweli.
 
Engine nyuma zilikua kimeo zamani,hapa sauz kuna basi zinaenda Zambia Shalom,juldan ambazo ni Scania engine nyuma. Zinapiga mzigo hizo basi za engine nyuma zinasubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli, mchina zipo vizur zaid mliman, zhongthong climber ni horsepower 360 mzee
Yap!! Umetoa maelezo ya kitaalam kabisa,scania inauwezo wa kupanda mlima kwa speed iliotokanayo tambarare,tofauti na mchina lazima isinzie na kuanza kulalamika.

Heshima ya scania itabaki palepale
 
Nilivosema hujui kitu ulibisha, hizo gari zote ulizotaja zinatengenezwa hapo Mombasa na kampun ya AVA.

Jitahid kukaa mbali na story za bodaboda mkuu
Hizo anazolimilik Rungwe, saul , Dar express zinakuja zikiwa tayari ziko full
 
Hujui cummins vizur ww, mchina alipochemka ni kwny kushindwa kuweka booster. Gari za kichina kila siku za kwanza kumaliza kupanda kitonga, sehem pekee wanayokimbizwa na scania ni kwenye mashimo yaliyoanzia igawa had mbeya mjini
Hamna gari ya kichina inayoweza kutembea na gari ya mzungu kwenye milima mchina lazima akae tu
 
Unaongea uongo, DMG kila siku zinakaa mbele zaid ya nusu saa. Mm nashinda barabaran muda mwingi
Unaota wewe sio bure kutoka swax deer kukaa mbele ya majinjah kwa mwezi mara 1 [emoji23]
 
Back
Top Bottom