ngulyabhule
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 226
- 377
Golden deeer gani ya kutembea na bul??
Akikujibu nitag mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Golden deeer gani ya kutembea na bul??
Huwa sipendi kubishana na mtu huwa napendelea facts. Niko na facts wala sijaropoka, ulitaka Latra wakubali au mkubali kuwa hii kitu haipo tena? Nambie leo ni basi gani linatumia hio kitu? Hio corruption unayozungumzia ndio na mimi naizungumzia kuwa hii ilikua ni corrupt project ya watu. Uzuri huw anatumia speedometer kila nikisafiri kwa basi na niko na evidence, thi shsit doesnt exist tena.
Leo hii basi la kutoka Mbeya linafika Dar saa mbili usiku, la Mwanza saa tano hadio sita....niko na screeshots kibao mtu anatembea hadi 140km/hr usiku.
haziendi poriniBujibuji hivi Sauli anaenda Kyela?
We jamaa usipotoshe bus zote speed mwisho 85 hata sisi tunasafiri mara kwa mara.
Hizi ndiyo day/duty cab! Uliyopost wewe ni sleeper..Unabisha wakati picha ipo hapo wakati ni day cab hazinaga nafasi ya kitanda
Hakuna unachokijua ila unajifanya unajua dogo kuna gari moja imechoka ndio inapeleka mafuta Rwanda na DRC...ukiwa na gari mbovu sio kwamba hautafika ila utapata tabu sana kule tunakuita UEFA...We jamaa unaongea nn, south mizigo wanchaii Bei ghali sio kwa sababu ni safari yenye risks kibao lakini sio eti ni mbali
Kuna jamaa huwa anakuja kununua spea , anatumia 113 choka mbaya, na anatoboa,
Unahitaji truck imara zaidi Kama unakwenda bugarama Rwanda , kuliko Kama ungekwenda cape town south Africa kutoka dar.
Sent
Mkuu msifike mbali sana, wewe na brother t blj ni miongoni mwa wachangiaji wenye kuheshimika sana!Hakuna unachokijua ila unajifanya unajua dogo kuna gari moja imechoka ndio inapeleka mafuta Rwanda na DRC...ukiwa na gari mbovu sio kwamba hautafika ila utapata tabu sana kule tunakuita UEFA...
kumbe hizo scania zipo juuHizo za chini mbili unapata moja hiyo ya juu
Ndio kama iyo kwenye picha nimepost gari 3 DAF moja ni DAY CAB ndio ilipiga ruti nyingiHizi ndiyo day/duty cab! Uliyopost wewe ni sleeper..View attachment 1485626View attachment 1485627
eeh, gari ambayo inaweza kwenda zaid ya miaka 10 bila tatizo lolote kubwa unaweza zipata bei sawa na hiyo michina ambayo miaka 3 kumaliza ni ndoto?kumbe hizo scania zipo juu
Hizo anazolimilik Rungwe, saul , Dar express zinakuja zikiwa tayari ziko fullTatito huwezi nunua Scania ambayo iko Bus tayari, ambazo ziko tayari ni Engine nyuma. Engine nyuma kwa kwetu si nzuri, kumbuka Sumry alivyoteseka.
Njia ya kupata bus la Scania ni kununua Chasis halafu unachonga body, kama Kisbo, City boy n.k
Mchina bus zake zipo tayari lakini engine, diff na gearbox ni nzito tofauti na Scania.
Ili kuifanya Yutong kuwa nyepesi Princes Muro alikuwa ananunua Yutong Mpya halafu anavua Engine, Diff na Gearbox anafunga za Scania. Huo moto si wa mchezo.
Zile Dar Express ni Body za Dar Coach au zimetengenezwa Nairobi. Kwa Ulaya wameshaachana na Technology ya Engine Mbele.Hizo anazolimilik Rungwe, saul , Dar express zinakuja zikiwa tayari ziko full
Zile Dar Express ni Body za Dar Coach au zimetengenezwa Nairobi. Kwa Ulaya wameshaachana na Technology ya Engine Mbele.
Kilimanjaro Express anatumia Marcopolo ambazo zilikuwa za Scandinavia miaka hiyo kazitunza hadi leo.
Body za Kenya ni nzuri sana unaweza fikiri zimetoka ulaya, mfano angalia Tahmid safi sana na zinakimbia kweli kweli.
Yap!! Umetoa maelezo ya kitaalam kabisa,scania inauwezo wa kupanda mlima kwa speed iliotokanayo tambarare,tofauti na mchina lazima isinzie na kuanza kulalamika.
Heshima ya scania itabaki palepale
Kilimanjaro Andare Class namba A zipo vizuri sana ndani.
Nadhani seat zake ni nzuri kuliko hizo za kichina.
Hizo anazolimilik Rungwe, saul , Dar express zinakuja zikiwa tayari ziko full
Hamna gari ya kichina inayoweza kutembea na gari ya mzungu kwenye milima mchina lazima akae tu
Unaota wewe sio bure kutoka swax deer kukaa mbele ya majinjah kwa mwezi mara 1 [emoji23]