Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Offshore Seamen what's your ideas?
Inalipa kama utajifunza Kwa bidii na kufanya kazi zako binafsi au ukawa fundi wa kujitegemea.
Kama kuajiriwa labda upate makampuni makubwa ya wazungu au migodini na miradi mikubwa ya ujenzi.

Ila ukiajiriwa kwenye kampuni hizi za kawaida/gereji itabidi ufanye Kwa malengo ili ujenge jina na uaminifu Kwa wateja ili ukiondoka kujitegemea uwe na mtaji wa wateja.La sivyo ukitegemea kazi katika gereji za wabongo, wahindi,wachina utafanya kazi tembo mshahara sungura na ila yenyewe kuipata tarehe 37 Kwa sehemu nyingine.
 
Kuna dogo nataka nimpeleke by January, ila sina idea yoyote ya hizi course.

Nifungue akili mkuu labda kuna ingine ambayo iko VETA itamsaidia inayohusu magari maana anapenda sana
 
Hata mimi nimeziona kiukweli nimeishia kusikitika tu , ungetegemea matajiri wa invest kwenye information ili anapotaka kununua tool awe anajua abcd zake , sasa g310 ni engine ya basi mtu anaibebesha tani 30 anakwenda kongo
Kwanini usianzishe kampuni yako ya consultation kwa ajili ya information kama hizi?

Kwamba mtu akitaka kununua chuma unamshauri kulingana na bajeti yake na shughuli anazoenda kufanya.
 
Kuna dogo nataka nimpeleke by January, ila sina idea yoyote ya hizi course.

Nifungue akili mkuu labda kuna ingine ambayo iko VETA itamsaidia inayohusu magari maana anapenda sana
Mpeleke VETA pale Chang'ombe akasome umeme wa magari au ufundi makenika. Hapo utaangalia yeye anapenda kipi, nadhani pale wana mpaka kozi ya ufundi wa magari makubwa.
 
Kwanini usianzishe kampuni yako ya consultation kwa ajili ya information kama hizi?

Kwamba mtu akitaka kununua chuma unamshauri kulingana na bajeti yake na shughuli anazoenda kufanya.
Bavaria !! I don't think it'll work,

Matajiri wengi wa magari hapa bongo hawana desturi ya kufanya biashara kisasa nafikiri kwa sababu wanatajirika katika njia ambazo hata wao hawawezi kuwaelezea watu wamefanya vipi Ili kufanikiwa , wengi Wana elements za kishirikina na makafara na wengine Hadi dhuluma

Unaanzaje kumshauri mtu asinuhue howo atafilisika wakati yeye anaamini makafara yake ndo yanafanya howo zake ziishi barabarani?

Kutakapo pambazuka watu watahitaji kushauriwa na wataalamu , lakini sio kwa sasa
 
Mpeleke VETA pale Chang'ombe akasome umeme wa magari au ufundi makenika. Hapo utaangalia yeye anapenda kipi, nadhani pale wana mpaka kozi ya ufundi wa magari makubwa.
Tuko Makao makuu ya nchi kiongozi.
Hapa hawezi kupata kitu?
 
Tuko Makao makuu ya nchi kiongozi.
Hapa hawezi kupata kitu?
Atapata napo huko si kuna VETA, mkazanie awe na juhudi ya kujifunza na kupenda atakachosoma hii itamfanya awe fundi mzuri.

Na kama ana passion ya shule anaweza akakomaa kuanza VETA na level 1 mpaka 3, kisha akaja kupiga level 4/5 hapa atakuwa na technician certificate baada ya hapo akikomaa ataingia kusoma diploma hata kwenye vyuo vya ufundi kama Arusha Technical,DIT, Must, St Joseph endapo atakuwa na wastani mzuri hiyo ni level 6.

Na akifaulu GPA nzuri hapo level 6 ataendelea na degree, akipita huku atakuwa ana uwezo mzuri sana kwenye vitendo.Kama ana passion ya shule ataendelea mpaka atapoishia yeye.
Mwambie ajachelewa kitu muhimu apende fani yake.
 
Bavaria !! I don't think it'll work,

Matajiri wengi wa magari hapa bongo hawana desturi ya kufanya biashara kisasa nafikiri kwa sababu wanatajirika katika njia ambazo hata wao hawawezi kuwaelezea watu wamefanya vipi Ili kufanikiwa , wengi Wana elements za kishirikina na makafara na wengine Hadi dhuluma

Unaanzaje kumshauri mtu asinuhue howo atafilisika wakati yeye anaamini makafara yake ndo yanafanya howo zake ziishi barabarani?

Kutakapo pambazuka watu watahitaji kushauriwa na wataalamu , lakini sio kwa sasa
Mkuu matajiri wa Bongo wengi hawahitaji ushauri zaidi ya kupewa taarifa na wapambe au kuiga Kwa tajiri fulani kanunua gari hizi na yeye anunue.

Mtu anashawishika na maneno anaenda kununua Mercedes Benz MP4 huku bongo wanaita Bombardier sasa ile show ya gari inamvutia tajiri yeye hajali kazi anazofanya.
Madalali,Wapambe,madereva wanabaki kukusifia tajiri ana gari pamba/gari tamu hatareee.
 
Chasis ya Scania Bus engine nyuma
1583402108092.jpeg

Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani.

Miaka ya katikati Mchina akaleta mabasi ya YUTONG na Zongtong. Matajiri wengi wakazimbilia basi hizi kwasababu ya ulaji mdogo wa mafuta, bodi nzuri, interior design, na unafuu wa vipuri.

Njia nyingi Scania zikaanza kuadimika, na watu wakasahau makali ya muziki wa Scania Njia ya Mbeya Kuna mabasi yanaitwa Sauli, ni Scania na Mercedes Benz. Yutong na zongtong zinaonekana kama Leyland CD, zinapitwa kama zimesimama, iwe ni mlimani, tambarare au mteremkoni, Mchina anapigwa home and away.

Pia nimeshawahi kusafiri sana na Volvo za Zainabs, mwendo wake haukuwa wa kitoto Wala wa kimama, ngoma ni mbio, nguvu, balance na stability ya uhakika.

Sasa naona kama mchina anaanza kupoteza imani kwa namna mabasi ya Sauli yanavyomfanya huko Mbeya.
Kuna Golden Deer inaenda Tunduma...Namba ni T 712 DPK...SAULI hata afanyeje haikuti hiyo...
 
Atapata napo huko si kuna VETA, mkazanie awe na juhudi ya kujifunza na kupenda atakachosoma hii itamfanya awe fundi mzuri.

Na kama ana passion ya shule anaweza akakomaa kuanza VETA na level 1 mpaka 3, kisha akaja kupiga level 4/5 hapa atakuwa na technician certificate baada ya hapo akikomaa ataingia kusoma diploma hata kwenye vyuo vya ufundi kama Arusha Technical,DIT, Must, St Joseph endapo atakuwa na wastani mzuri hiyo ni level 6.

Na akifaulu GPA nzuri hapo level 6 ataendelea na degree, akipita huku atakuwa ana uwezo mzuri sana kwenye vitendo.Kama ana passion ya shule ataendelea mpaka atapoishia yeye.
Mwambie ajachelewa kitu muhimu apende fani yake.
Ni kichwa mbovu sana hii kiongozi wacha tuone itakavyokuwa, japo matokeo yake ya 2019 si mabaya sana ana pass mbili.
 
Bavaria !! I don't think it'll work,

Matajiri wengi wa magari hapa bongo hawana desturi ya kufanya biashara kisasa nafikiri kwa sababu wanatajirika katika njia ambazo hata wao hawawezi kuwaelezea watu wamefanya vipi Ili kufanikiwa , wengi Wana elements za kishirikina na makafara na wengine Hadi dhuluma

Unaanzaje kumshauri mtu asinuhue howo atafilisika wakati yeye anaamini makafara yake ndo yanafanya howo zake ziishi barabarani?

Kutakapo pambazuka watu watahitaji kushauriwa na wataalamu , lakini sio kwa sasa
Biashara nyingi haziendeshwi kisasa.
 
Ni kichwa mbovu sana hii kiongozi wacha tuone itakavyokuwa, japo matokeo yake ya 2019 si mabaya sana ana pass mbili.
Mpeleke VETA kule ataweza na kufaulu vizuri, usiuamini sana mfumo wa mitihani ya bongo kuwa ndio kigezo cha kupima akili ya mtu.

Anaweza akaenda VETA na akaja kuwa fundi mzuri hata akiwekwa field na MTU wa Diploma/Degree kwenye kazi za Vitendo akawatoa kamasi.
 
Mpeleke VETA kule ataweza na kufaulu vizuri, usiuamini sana mfumo wa mitihani ya bongo kuwa ndio kigezo cha kupima akili ya mtu.

Anaweza akaenda VETA na akaja kuwa fundi mzuri hata akiwekwa field na MTU wa Diploma/Degree kwenye kazi za Vitebsk akawatoa kamasi.
Nitakuwa nakujuza nitakapo kwama kiongozi, shukrani sana kwa muda wako.
 
DPK series zinamadereva wazuri sana licha ya gari zao kutokua na uwezo km wa gemilang lkn wakina mbeya boy wanawahofia hawa jamaa sana
T 711 DPK, T 712 DPK na T 715 DPK...Dar - Tunduma....Hizi ngoma ni MOTO..
 
... uko sahihi. Probability ya gari T 605 DTR kugombaniwa na abiria ni kubwa kuliko T 605 BXY hilo halina ubishi regardless of brand!
Alafu unashangaa yenye namba A inawahi kufika mapema kuliko namba D
Kwa wale wanaopenda kufika haraka kama mimi akili inanikaa sawa siangalii tena upya wa gari.
 
Bavaria !! I don't think it'll work,

Matajiri wengi wa magari hapa bongo hawana desturi ya kufanya biashara kisasa nafikiri kwa sababu wanatajirika katika njia ambazo hata wao hawawezi kuwaelezea watu wamefanya vipi Ili kufanikiwa , wengi Wana elements za kishirikina na makafara na wengine Hadi dhuluma

Unaanzaje kumshauri mtu asinuhue howo atafilisika wakati yeye anaamini makafara yake ndo yanafanya howo zake ziishi barabarani?

Kutakapo pambazuka watu watahitaji kushauriwa na wataalamu , lakini sio kwa sasa
Aisee, kumbe hapo

Ndio maana ngozi nyeupe zimetawala sana soko
 
Back
Top Bottom