mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Kwanini muanze hivyo hivyoHata kama hapajakamilika tuanze hivyo hivyo
Mlishindwa kukamilisha mradi
Ova
Kwanini muanze hivyo hivyoHata kama hapajakamilika tuanze hivyo hivyo
Upo sahihi mkuu Tatizo kwenye hii nchi Viongozi wako kimaslahi Zaidi ya kuwahudumia wananchi na wanasahau hii karne teknolojia imekua wananchi hawadanganyiki kirahisi biashara za wakubwa hizi wanavimbiana juu kwa juuWatu wenyewe kila siku domo blah blah matokeo sifuri
Huu mradi una legalega tu
Ujenzi wenyewe haujakamilika 100%
Ova
Unaanza mchakato wa suluhu,, sijui tathmini kwani mbaka muwekezaji analeta mabasi ilikua haijulikani yanakuja kwaajili ya nini ?Hata hivyo Mkurugenzi wa PPPC na Mwenyekiti wa DART, Bwana David Kafulila, amesema kuwa serikali imeanza mchakato wa suluhu kupitia ripoti ya tathmini ya nusu mwaka.
Siasa zipu?Siasa uchwara hizo.
Wana siasa wao wanaingilia proffesionalism za watu 😄Upo sahihi mkuu Tatizo kwenye hii nchi Viongozi wako kimaslahi Zaidi ya kuwahudumia wananchi na wanasahau hii karne teknolojia imekua wananchi hawadanganyiki kirahisi biashara za wakubwa hizi wanavimbiana juu kwa juu
Tatizo Tanzania ni siasa na wanasiasa na kila jambo kuingiza siasa. Foundation ya siasa ya Tanzania ni ya uwongo uwongo, majungu, uvivu na roho mbaya, msingi wa siasa wetu sio wa uwajibikaji na utendajiSiasa zipu?
Ni Duniani koteTatizo Tanzania ni siasa na wanasiasa na kila jambo kuingiza siasa. Foundation ya siasa ya Tanzania ni ya uwongo uwongo, majungu, uvivu na roho mbaya, msingi wa siasa wetu sio wa uwajibikaji na utendaji
Buree kabisa weweNi Duniani kote
Tanganyika ina Safari ndefu sana kuifikia hata namibia.Pathetic!Wana siasa wao wanaingilia proffesionalism za watu 😄
Sema tu ukweli ni huu mradi
Haujakamilika 100%
Wanaona aibu tu kusema
Ova
Hawawezi kabisaTanganyika ina Safari ndefu sana kuifikia hata namibia.Pathetic!
Tumbili naona unaleta sana nyuzi za kujipa promo.View attachment 3585326
Dar es salaam, Zaidi ya mabasi ya Mofat 150 yamekwama kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, jijini Dar es Salaam. Hali hii imeibua mjadala mpana kuhusu ufanisi wa mradi wa mwendokasi na athari zake kwa wananchi pamoja na mwekezaji.
Hata hivyo, Kampuni ya Mofat imefanya uwekezaji mkubwa kwa kuleta mabasi 200 mapya, kila moja likiwa na uwezo wa kubeba abiria 165. Mabasi haya yamekamilika nyaraka zote muhimu, yamepata bima na yamehakikiwa na mamlaka husika.
Pamoja na hayo ni mabasi 50 pekee ndiyo yanayotoa huduma kwa sasa, jambo linaloibua maswali kuhusu ufanisi wa mradi na Mapokeo ya PPP kwa mamlaka za Serikali.
Kukosa nafasi za kuanza kazi licha ya maandalizi kukamilika ni kiashiria cha hasara kwa mwekezaji kutokana na mabasi yaliyokwama bila kutumika yangeweza kubeba abiria 250,000 kwa siku na ikiwa amekopa basi huenda Uhusiano wa kifedha wa mteja na benki unaweza kuathirika iwapo mabasi hayataanza kazi mapema huku mwekezaji akihitajika kurejesha mkopo.
Hata hivyo Mkurugenzi wa PPPC na Mwenyekiti wa DART, Bwana David Kafulila, amesema kuwa serikali imeanza mchakato wa suluhu kupitia ripoti ya tathmini ya nusu mwaka. Kafulila amesisitiza kuwa lengo ni kuhakikisha uwekezaji huu mkubwa unaleta tija na manufaa kwa wananchi wa kipato cha chini na kuondoa changamoto kabisa za usafiri zilizopo katika Jiji la Dar es salaam.
Wakati haya yakiendelea Wananchi wamependekeza mabasi haya yaelekezwe barabara ya Gongo la Mboto, ambayo imekamilika kwa 99%. Hatua hii inaweza kupunguza msongamano wa abiria na kuongeza ufanisi wa huduma ya mwendokasi katika Jiji la Dar es salaam.
===
Uzuie mabasi ya Mpemba wakati Rais ni Mzanzibar!Aise vituko show
Ova
Ana I'D zaidi ya 25Tumbili naona unaleta sana nyuzi za kujipa promo.
Unamjibu wa nini mtu kiazi kiasi hicho!Siatatakiwa kurejesha?