Mwanasiasa malaya malayaNakuuluza na Wewe unamfahamu Kafulila vizuri?
Mwanasiasa malaya malayaNakuuluza na Wewe unamfahamu Kafulila vizuri?
Sijawahi kumuelewa nwana kafulila toka awe ppp sijui..yaaji ni kama mshereheshaji tu makelele mengi outcome sisimizi.Hata hivyo Mkurugenzi wa PPPC na Mwenyekiti wa DART, Bwana David Kafulila, amesema kuwa serikali imeanza mchakato wa suluhu kupitia ripoti ya tathmini ya nusu mwaka. Kafulila amesisitiza kuwa lengo ni kuhakikisha uwekezaji huu mkubwa unaleta tija na manufaa kwa wananchi wa kipato cha chini na kuondoa changamoto kabisa za usafiri zilizopo katika Jiji la Dar es salaam.
Ukweli ni huoBuree kabisa wewe
Kafikisha miradi yenye thamani ya trillion 11.Sijawahi kumuelewa nwana kafulila toka awe ppp sijui..yaaji ni kama mshereheshaji tu makelele mengi outcome sisimizi.
Kafikisha miradi yenye thamani ya trillion 11.
Tumbili kazi yake kurukaruka tu kwenye miti.Sijawahi kumuelewa nwana kafulila toka awe ppp sijui..yaaji ni kama mshereheshaji tu makelele mengi outcome sisimizi.
Hakuna kitu sekta ya Umma inaweza fanya Kwa ufanisi ni shida tupu.View attachment 3585326
Dar es salaam, Zaidi ya mabasi ya Mofat 150 yamekwama kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, jijini Dar es Salaam. Hali hii imeibua mjadala mpana kuhusu ufanisi wa mradi wa mwendokasi na athari zake kwa wananchi pamoja na mwekezaji.
Hata hivyo, Kampuni ya Mofat imefanya uwekezaji mkubwa kwa kuleta mabasi 200 mapya, kila moja likiwa na uwezo wa kubeba abiria 165. Mabasi haya yamekamilika nyaraka zote muhimu, yamepata bima na yamehakikiwa na mamlaka husika.
Pamoja na hayo ni mabasi 50 pekee ndiyo yanayotoa huduma kwa sasa, jambo linaloibua maswali kuhusu ufanisi wa mradi na Mapokeo ya PPP kwa mamlaka za Serikali.
Kukosa nafasi za kuanza kazi licha ya maandalizi kukamilika ni kiashiria cha hasara kwa mwekezaji kutokana na mabasi yaliyokwama bila kutumika yangeweza kubeba abiria 250,000 kwa siku na ikiwa amekopa basi huenda Uhusiano wa kifedha wa mteja na benki unaweza kuathirika iwapo mabasi hayataanza kazi mapema huku mwekezaji akihitajika kurejesha mkopo.
Hata hivyo Mkurugenzi wa PPPC na Mwenyekiti wa DART, Bwana David Kafulila, amesema kuwa serikali imeanza mchakato wa suluhu kupitia ripoti ya tathmini ya nusu mwaka. Kafulila amesisitiza kuwa lengo ni kuhakikisha uwekezaji huu mkubwa unaleta tija na manufaa kwa wananchi wa kipato cha chini na kuondoa changamoto kabisa za usafiri zilizopo katika Jiji la Dar es salaam.
Wakati haya yakiendelea Wananchi wamependekeza mabasi haya yaelekezwe barabara ya Gongo la Mboto, ambayo imekamilika kwa 99%. Hatua hii inaweza kupunguza msongamano wa abiria na kuongeza ufanisi wa huduma ya mwendokasi katika Jiji la Dar es salaam.
===
Utaribu tuNchi ya kusadika hii, yaani watu wanahangaika na uhaba wa mabasi kumbe kuna mabasi 150 yanaatamia ardhi tu.
Sijakusoma mkuu.Utaribu tu
Barabara baadhi zilikuwa kwenye ujenziSijakusoma mkuu.
Yah kwenye makaratasi 😄Kafikisha miradi yenye thamani ya trillion 11.
Kwanini kwenye makaratasi?Yah kwenye makaratasi 😄
Ova
Hakuna matokeoKwanini kwenye makaratasi?
Siyo kweli, hizo barabara ambazo zimekwisha zina uhaba mkubwa wa mabasi halafu mabasi 150 yamelala kwa miezi sita?Barabara baadhi zilikuwa kwenye ujenzi
Taja miradi 5 tu na thamani zake.Kafikisha miradi yenye thamani ya trillion 11.
Kabla ya matokeo yanaanza maneno.Hakuna matokeo
Nyie mshazoea kuishi
Kwenye nchi za viongoz
Kupiga domo domo
Matokeo sifuri...
Wananchi wanataka kuona
Matokeo,huoo mradi uanze kazi acheni kupiga domo domo...
Ova