Mabasi mapya 150 ya MOFAT yakwama kupata njia | kafulila aingilia kati

Samaki huoaza kwa kuanzia kichwani. Yani muwekezaji tayari ana magari, nyinyi bado hamjamaliza kujenga barabara, kule mlikomaliza kujenga muwekezaji hana magari. Hii nchi ili kuielewa sometimes inabidi uwe umepiga Konyagi ndogo kwanza ili usijekujikuta unawaza kinyume na ‘watawala’ ukaishia kuambulia mikwaju
 
Watu wenyewe kila siku domo blah blah matokeo sifuri
Huu mradi una legalega tu
Ujenzi wenyewe haujakamilika 100%

Ova
Upo sahihi mkuu Tatizo kwenye hii nchi Viongozi wako kimaslahi Zaidi ya kuwahudumia wananchi na wanasahau hii karne teknolojia imekua wananchi hawadanganyiki kirahisi biashara za wakubwa hizi wanavimbiana juu kwa juu
 
Hata hivyo Mkurugenzi wa PPPC na Mwenyekiti wa DART, Bwana David Kafulila, amesema kuwa serikali imeanza mchakato wa suluhu kupitia ripoti ya tathmini ya nusu mwaka.
Unaanza mchakato wa suluhu,, sijui tathmini kwani mbaka muwekezaji analeta mabasi ilikua haijulikani yanakuja kwaajili ya nini ?

Hawa wanasiasa wanatuchukuliaje, majibu yao yanakera sana.
 
Upo sahihi mkuu Tatizo kwenye hii nchi Viongozi wako kimaslahi Zaidi ya kuwahudumia wananchi na wanasahau hii karne teknolojia imekua wananchi hawadanganyiki kirahisi biashara za wakubwa hizi wanavimbiana juu kwa juu
Wana siasa wao wanaingilia proffesionalism za watu 😄

Sema tu ukweli ni huu mradi
Haujakamilika 100%
Wanaona aibu tu kusema

Ova
 
Siasa zipu?
Tatizo Tanzania ni siasa na wanasiasa na kila jambo kuingiza siasa. Foundation ya siasa ya Tanzania ni ya uwongo uwongo, majungu, uvivu na roho mbaya, msingi wa siasa wetu sio wa uwajibikaji na utendaji
 
Ni Duniani kote
 
Swali la msingi;
Ni kwa nini hayo mabasi hayafanyi kazi kwa zaidi ya mwaka sasa huku yakiwa yamekamilisha taratibu zote za vibali? Mambo mengine yanastajaabisha sana.
 
Tumbili naona unaleta sana nyuzi za kujipa promo.
 
Tumbili na drama zake.

Ngoja zije zile ID zake kama Kiboko ya Wajinga, Mshindi wa Vita , Uelekeo 555 na Songaleli kuchangia uzi huu naona zinajipanga kuja kujijibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…